
Godlove Muliahela akiwa anafanya Shooting ya wimbo wake ambao utatoka hivi karibuni.


Hapa alikuwa akiimba ndani ya Boti , wakati wa kutengeneza wimbo wake

Kazi ya kuendelea kurekodi wimbo wake inaendelea hapa

Hapa ilikuwa ni wakati ambapo alikuwa anaweka Mashairi sawa sawa kwa ajili ya kuendelea na Shooting

Akiwa pamoja na Mpiga picha wake wa Video, Hapa ni Full Ki Dutch

Ilikuwa ni wakati wa mapumziko hapa akiwa pamoja na ma producer wake

Hapa akiwa pamoja na kwaya yake huko Ujerumani.Kwa Taarifa zake zaidi Tembelea Website yake hapawww.god-love.de