ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Sunday, April 2, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

    SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

    HOMA YA DENGUE YAIBUKA KWA KASI SUDAN

    HOMA YA DENGUE YAIBUKA KWA KASI SUDAN

    TRUMP AJIBU MASHTAKA

    TRUMP AJIBU MASHTAKA

    MAANDAMANO KENYA YAHISIWA KUWA MAKUSUDI

    MAANDAMANO KENYA YAHISIWA KUWA MAKUSUDI

    KCMC YAPOKEA VIFAA TIBA VYA UPASUAJI

    KCMC YAPOKEA VIFAA TIBA VYA UPASUAJI

    OSCAR PISTORIUS: UWEZEKANO KUACHILIWA MAPEMA KUZINGATIWA

    OSCAR PISTORIUS: UWEZEKANO KUACHILIWA MAPEMA KUZINGATIWA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result

KILELE CHA SHINDANO LA SERENGETI FIESTA SUPA NYOTA 2012 , MASHABIKI WACHENGUKA VILIVYO SUNCIRO JIJINI DAR‏

admin by admin
August 21, 2012
in Uncategorized
Reading Time: 9 mins read
A A
0
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

A

Pichani kati ni Mratibu wa shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2012,Antu Mandoza akiwataja vinara watatu kati ya 14 walioshindana vikali ndani ya ukumbi wa Sunciro usiku wa kumkia leo.Kutoka shoto ni Joh Maker (Morogoro),Ney Lee (Mbeya), sambamba na kijana mdogo lakini ni mwenye kipaji cha kufoka ile mbaya kutoka jijini Mwanza aitwaye Young Killa.Shindano hilo lilikusanya vijana mbalimbali wenye kipaji cha kuimba kutoka mikoa kadhaa ikiwemo Mbeya,Arusha,Morogoro,Tanga,Dar Es salaam,pamoja na jiji la Mwanza. Washiriki hao watatu watapa nafasi ya kuendelea kuonesha vipaji vyao kwenye matamasha yote ya Serengeti Fiesta 2012,ambayo inatarajia kuanza kurindiama Ijumaa ya wikii hii ndani ya jiji la Moshi-Chuo cha ushirika na jumipili litafanyika Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.
Burudani iliokuwa ikiendelea kutolewa na dani ya ukumbi wa Sunciro,washabiki walikuwa wakijimwa mwaya kwa staili hiyo huku wakiendelea kushuhudia shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota,lililokuwa na ushindani mkubwa kwa washiriki.
Mshiriki wa shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2012,Catrina kutoka jijini Arusha akionesha kipaji chake cha kuimba mbele ya umati mkubwa (haupo pichani) uliokuwepo kulishuhudia live tukio hilo ambalo pia lilikuwa likirushwa live na Clouds TV na Redio.
Majaji wa shindano hilo wakijadiliana jambo,kutoka kulia ni Othman Suka,Prodyuza wa Muziki Dunga,Dj Ibra pamoja na mtaalamu wa  mambo ya muziki kituo cha THT,Kardinal Gentlo.
Baada ya kuchuana vikali,washiriki 14,ukapitishwa mchujo mkali na kuwapata hawa washiriki sita pichani kama waonekanayo.Kutoka kulia ni Candy (DSM),Bridan Khan (Tanga),Ney Lee (Mbeya),Joh Maker (Morogoro) pamoja na You Killa kutoka Mwanza.
Ilikuwa ni full kushangweka ndani ya ukumbi wa Sunciro.
Mshiriki wa shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2012,Joh Maker kutoka mkoani Morogoro akionesha umahiri wa kipaji chake cha kufloo mbele ya sehemu ya mashabiki waliofika kulishuhudia live tukio hilo ambalo pia lilikuwa likirushwa moja kwa moja na Clouds TV na Redio.
Mshiriki wa shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2012,Candy kutoka jijini Dar akiimba na kucheza kwa umahri mkubwa mbele ya sehemu ya mashabiki (hawapo pichani) waliofika kulishuhudia live tukio hilo ambalo pia lilikuwa likirushwa moja kwa moja na Clouds TV na Redio.
Mshiriki wa shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2012,Ney Lee kutoka mkoani Mbeya akiimba na kucheza kwa umahri mkubwa mbele ya sehemu ya mashabiki (hawapo pichani) waliofika kulishuhudia live tukio hilo ambalo pia lilikuwa likirushwa moja kwa moja na Clouds TV na Redio.
Mmoja wa majaji,Dj Ibra akifafanua jambo kwa washiriki wa shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2012,shoto kwake ni mtayarishaji wa muziki aitwaye Dunga.
Mchakato wa majaji ulikuwa mgumu kuwapata vinara husika wa shindano hilo,kwani kila mmoja alijitahidi kuonesha uwezo na kipaji alichonacho.Kwa mujibu wa majaji wa shindano hilo walitoa vigezo husika kwa washiriki kuwa ni umiliki wa jukwaa na kujiamini,ubunifu wake wa kuimba,kuwepo mawasiliano kati yake na mashabi wanaotazama na pia kutoa maneno fasaha ili yasikike.
Washabiki mbalimbali walijitokeza kwa wingi kushuhudia shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota 2012,lililofanyika ndani ya ukumbi wa Sunciro jijini Dar,shindano hilo limefanyika likiwa na lengo ya kuinua vipaji vya kuimba kwa vijana kutoka sehemu mbalimbali,ambapo pia ilikuwa ni sehemu mojawapo ya mchakato wa kuanza kwa tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
Previous Post

Orijino Komedi Profesa NA VITUKO

Next Post

MVUA ZATIBUA SIKUKUU YA IDD PILI DAR ES SALAAM

admin

admin

RelatedPosts

NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa Mil. 180/-
Uncategorized

NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa Mil. 180/-

by iamkrantz
March 31, 2023
0

Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Mhe. Paul Chacha pamoja na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya...

Read more

Mtanzania aibuka kinara tuzo za uvumbuzi kwenye teknolojia barani Africa

March 31, 2023
ROYAL TOUR YATIKI, NDEGE 3 ZATUA KIA

ROYAL TOUR YATIKI, NDEGE 3 ZATUA KIA

March 31, 2023
BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO WA WAHARIRI MOROGORO

BENKI YA NMB YADHAMINI MKUTANO WA WAHARIRI MOROGORO

March 30, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi  vifaa vya ujenzi kwa shule ya msingi Sinyaulime na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (FDC)

Benki ya NMB Yakabidhi vifaa vya ujenzi kwa shule ya msingi Sinyaulime na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Bigwa (FDC)

March 30, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo

Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo

March 27, 2023
Load More
Next Post

MVUA ZATIBUA SIKUKUU YA IDD PILI DAR ES SALAAM

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Machi 27,2023

March 27, 2023
MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI

MFAHAMU MVUVI ALIYEPOTELEA BAHARINI SIKU 438, NA KUKUTWA BADO YUPO HAI

March 28, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Habari Kuu Kwenye Magazeti ya Leo Machi 28,2023

March 28, 2023
WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA

WASANII BONGO WALIOTAJWA PLAYLISTS YA KAMALA

March 28, 2023
SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

March 31, 2023
HOMA YA DENGUE YAIBUKA KWA KASI SUDAN

HOMA YA DENGUE YAIBUKA KWA KASI SUDAN

March 31, 2023
NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa Mil. 180/-

NMB Bonge la Mpango – ‘Moto Uleule’ yazinduliwa, wateja kuzoa Mil. 180/-

March 31, 2023

Mtanzania aibuka kinara tuzo za uvumbuzi kwenye teknolojia barani Africa

March 31, 2023
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In