Mkuu wa Vipindi wa Clouds Fm Sebastian Maganga (wa kwanza kulia) akitoa maelekezo kwa watangazaji wa redio hiyo Lovenes Love na Adam Mchomvu wakati walikuwa wakiongea na wasikilizaji wa redio ndani ya Tanga katika amsha amsha ya Tamsaha la Fiesta 2012 linalotegemea kufanyika tarehe 26.8.2012 Uwanja wa Mkwakwani. Tamasha hilo litakalopambwa na msanii maarufu wa kimataifa kutoka nchini Kenya Prezzoo.
Mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu akionyesha akizungumza na mkuu wa vipindi wa Radio Clouds Sebastian Maganga
Picha ya Kumbu kumbu kwa vijana wa Chumbagenino.
.
Aha… Sudi Brown (kushoto) akiwa na Mchomvu
Mara baada ya Clouds Fm kutoka Kitaa cha Chumbageni maskani ya Chumbagenino Clouds Fm ilihamia kitaa kingine ambapo alijitokeza kijana mmoja na kuomba awe mtangazaji hapa alikuwa alimfanyia mahojiano Mwanadada Loveness Love.
Aha…mambo yalinogeshwa na kuwekwa sawa. Unaweza kufuatilia kinachoendelea katika amsha amsha za tamsaha la Fiesta 2012
CHANZO ::Kajunason Blog.