NA shukuru ngongoje WA TOP RADIO MOROGORO
kocha mkuu wa timu ya taifa ya zambia, heave renald amesema kuwa anaamini mechi yake dhidi ya uganda hapo jumamosi atafanya vizuri,japokuwa timu ya uganda si yakubeza.zambia ndo bigwa africa mwaka huu,mechi hiyo itakayo pigwa jumamosi na kurudiwa 13/10/2012.
NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima
Kutoka Kushoto: Mkuu wa Idara ya Bima - Benki ya NMB, Martine Massawe; Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware;...
Read more