NA SHUKURU NGONGOJE WA TOP RADIO,MOROGORO
Akatika kuakisha fainali za kombe la dunia mwaka 2014 kufana zaidi nchini brazil,shilikisho la soka la dunia fifa,imetoa nafasi mbili zaidi kwa miji itakayo pigwa fainali hizo hapo brazil,awali ilikuwa miji kumi sasa miji kumi na mbili,ambayo ni Rio de Janeiro, Sao Paulo, Manaus, Belo Horizonte, Natal, Fortaleza, Curitiba, Salvador, Brasilia, Cuiaba, Recife and Porto Alegr,fifa wametoa nafasi hiyo kwa kuwa wamelizishwa kwa ukuwaji wa maendeleo nchini brazil
NMB yashinda tena tuzo ya kuongoza kuwafadhili wajasiriamali – Afrika
Benki ya NMB imetunukiwa tena tuzo na jukwaa la kufadhili ujasiriamali duniani (SME Finance Forum) kutokana na huduma zake wezeshi...
Read more