ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Friday, March 24, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

    MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

    TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1

    TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1

    MWANAMKE ALIEVUNJA REKODI KUOLEWA NA WANAUME WATATU

    MWANAMKE ALIEVUNJA REKODI KUOLEWA NA WANAUME WATATU

    BULEMBO; “FUATENI UTARATIBU UNUNUZI ARDHI”

    BULEMBO; “FUATENI UTARATIBU UNUNUZI ARDHI”

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Machi 24,2023

    WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

    WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Msanii Mtanzania Ziarani Irani

admin by admin
September 12, 2012
in Uncategorized
Reading Time: 5 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mnamo tarehe 4 September mwaka huu msanii wa kitanzania mwanadada Safina Said Kimbukuta alipata bahati ya kwenda kushirikii Tamasha la Sanaa za uchoraji la kimataifa nchini Iran
Tamasha la 19 la kimataifa la Sanaa la visual ambalo limefanyika katika mji wa Gorgan kaskazini mwa Iran, liliwashirikisha wasanii vijana kutoka mataifa mbalimbali, kukiwa na idadi ya washiriki kutoka nchi kumi na nane ulimwengu, ambalo lilianza tarehe 4 September mpaka 8 September 2012.aliporejea alipata wasaa ya kutembelea kituo cha utamaduni cha ubalozi wa Irani jijini Dar as salaam, ifuatayo ni mahojiano aliyoyafanya na jarida la Al-hikma:
Al-hikma: Hii ni Mara yako ya kwanza kutembelea Jamhuri ya Kiislam ya Iran, kiujumla imeichukuliaje safari yako na Taifa hilo la kiislam la Iran?
Safina Kimbukuta: Kwanza napenda kuchukua fursa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kwenda na kurudi salama, kwa kweli ni faraja na fakhari kwangu kupata fursa adhimu kama hii ya kutembelea nchi ya Jamhuri ya Kiislam ya Iran,ni nchi nzuri yenye maendeleo makubwa katika safari yangu nimejifunza mambo mengi na kukutana na  watu kutoka tasnia mbalimbali,kama vile wasanii waandishi wa habari, walimu na wanasiasa.
     Al-hikma: Wasanii kutoka Tanzania na Africa walikuwa wangapi na vipi yalikuwa maonyesho?
      Safina Kimbukuta: Maonyesho yalikuwa mazuri yaliyokutanisha wasanii mbalimbali ulimwenguni, Kwa upande wa Tanzania nilikuwa Mimi peke yangu na Africa tulikuwa washiriki watatu, Tanzania, Senegal na Zimbabwe.
Al-hikma: Ni kitu gani ulichojifunza na kukuvutia katika Tamasha hilo?
Safina Kimbukuta: Kitu ambacho nilichojifunza na kunivutia ni jinsi ya ustadi wa kazi za wasanii wenzangu ambacho kabla ya hapo nilikuwa sijuwi lakini nashukuru kupitia tamasha lile nimejifunza mengi.
Al-hikma: je kuna kufanana Kwa Sanaa za kazi zako na washiriki wengine na aina ipi ya muundo ulikuwa ukitumia?
Safina Kimbukuta: Kazi za wasanii zilkuwa tofauti, Mimi binafsi nilitumia Metro Structure ambayo ni muundo tofauti na wasanii wengine.
 Al-hikma: Je washiriki wenzio waliichukuliaje kazi za Sanaa yako?
Safina Kimbukuta: wameipokea vizuri kazi yangu japokuwa sikuweza kuzimalizia kutokana na mda kuwa finyu lakini wasanii wenzangu wameonyesha kuvitiwa na kazi zangu.
Al-hikma: Je watanzani wakipata fursa Kama hii unadhani wana weza kuonyesha ushindani wa aina yoyote?
Safina Kimbukuta: Nafikiri watanzania wano uwezo wakipata Kama hizi kushiriki na kuonyesha ustadi wa kazi zao kwa jamii nyingine.
Al-hikma: Umeichukukulisje Iran katakona na mtazamo wa propaganda wa nchi za kimagharibi?
Safina Kimbukuta: Kwanza nilipopata habari juu ya ushiriki wangu wa tamasha la Sanaa nchini Iran, ndugu zangu walishangaa Sana na kuniuliza maswali mengi iweje Iran? Isiwe nchi nyingine, lakini nilivyofika na kukaa mda wa siku tano, mambo Leo yanayozungumzwa ususwa na vyombo vya magharibi ni tofauti kabisa na hali halisi iliyopo Iran,ni nchi yenye wananchi wenye upendo na amani na nawashauri watanzania wenzangu na kuwaambia kuwa Jamhuri ya Kiislam ya nchi ni yenye ustaarabu  uhuru kamili kwa jamii yoyote,na napenda kuwashukuru Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Kiislam nchini kwa kufanikisha safari yangu na kurudi salama. 
ADVERTISEMENT
Previous Post

Bondia lazima upigwe usoni ili ukomae

Next Post

Maisha Plus 2012 Yendelea Na Usaili

admin

admin

RelatedPosts

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
Uncategorized

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

by iamkrantz
March 24, 2023
0

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kidijitali wa Benki ya NBC, Ulrik Tobias akishuhudia mteja Dosian Augustine akifanya muamala  katika...

Read more
Equity Bank, ZEEA, na SMIDA wasaini  Makubaliano ya Ushirikiano wa Kutoa Mikopo Nafuu Tanzania

Equity Bank, ZEEA, na SMIDA wasaini Makubaliano ya Ushirikiano wa Kutoa Mikopo Nafuu Tanzania

March 22, 2023
Benki ya NMB yatenga mikopo ya shilingi bilioni 20 kuchangia ukuaji wa sekta ya kilimo nchini

Benki ya NMB yatenga mikopo ya shilingi bilioni 20 kuchangia ukuaji wa sekta ya kilimo nchini

March 22, 2023
Ruth Zaipuna: Miaka miwili ya Mafanikio Makubwa

Ruth Zaipuna: Miaka miwili ya Mafanikio Makubwa

March 20, 2023
MWENYEKITI WA CHAMA CHA  MABENKI TANZANIA (TBA) AONGOZA MAADHIMISHO  SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SEKTA YA MABENKI.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA  MABENKI TANZANIA (TBA) AONGOZA MAADHIMISHO  SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SEKTA YA MABENKI.

March 17, 2023
NMB yatenga Bilioni 200 kwa ajili ya mikopo elimu ya juu

NMB yatenga Bilioni 200 kwa ajili ya mikopo elimu ya juu

March 15, 2023
Load More
Next Post

Maisha Plus 2012 Yendelea Na Usaili

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
MKE WA DR. MWAKA AJIONDOKEA BILA TALAKA

MKE WA DR. MWAKA AJIONDOKEA BILA TALAKA

March 21, 2023
MMFL YAFAFANUA KUHUSU TUHUMA ZA MBOLEA

MMFL YAFAFANUA KUHUSU TUHUMA ZA MBOLEA

March 16, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Machi 20,2023

March 20, 2023
HAALAND KUIKOSA HISPANIA

HAALAND KUIKOSA HISPANIA

March 21, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

March 24, 2023
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

March 24, 2023
NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023

NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023

March 24, 2023
TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1

TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1

March 24, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In