Flaviana matata akifanyiwa interview na Kassim Kayira katika BBC africa kuhusiana na maisha yake pamoja na kazi zake za fashion.
Muonekano mpya wa Flavian matata katika studio za BBC africa ambayo ipo london.
Flavian matata akiwa na jestina george ambaye anamiliki www.jestina-george.com ambayo inahusu mambo ya london pamoja na BBC focus on african programme.
Muonekano wa Flavian matata akiwa na radio presenter wa BBC Africa iliyopo london anayefahamika kwa jina la Kassim Kayira baada ya kumaliza interview yao ambayo ilikuwa inahusiana na mambo ya london fashion wee