Baada ya mshiriki huyu wa Big Brother star game kuja pande za 254 nchini kenya kimya kimya na kufanya collabo na msanii anayejulikana kwa jina la Navio.Sasa habari ni kwamba Goldie anatarajia pia kutua hapa bongo kuja kufanya collabo na Ambwene Yesaya a.k.a AY katika studio ya MJ record.Tunatarajia muonekano mpya wa nyimbo hiyo mpya ambayo itafanywa na Goldie pamoja na Ambwene Yesaya a.k.a AY.
NMB WAZINDUA KAMPENI YA “UMEBIMA TELEZA NA HII”ZANZIBAR
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi - Idrissa Kitwana Mustafa na Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya...
Read more