ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Sunday, July 3, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    SAKATA LA CHADEMA MAMBO BADO YAMEKUWA MVUTANO

    COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

    COSTECH YAJIPANGA KUONYESHA BUNIFU MPYA SABASABA 2022

    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    CRDB Bank Marathon Msimu Mwingine 2022 Waja Hivi Karibuni

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Taarifa Ya Uongozi Wa Hoteli Ya Peter Safari’s Kwa Vyombo Habari Kuhusiana Na Madai Ya Kocha Wa Yanga

admin by admin
September 22, 2012
in Uncategorized
Reading Time: 4 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

TAARIFA YA UONGOZI WA HOTEL YA PETER SAFARI’s KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MADAI YALIYOTOLEWA NA KOCHA WA TIMU YA YANGA BAADA YA KUMALIZIKA MCHEZO WAKE NA TANZANIA PRISON TAREHE SEPT 15, 2012. 
 Ndugu wanahabari, Karibuni katika mkutano mfupi ambao unalenga kuzungumzia ama kuelezea masikitiko makubwa dhidi ya Kocha wa Timu ya Yanga TOM SAINTFIET aliyoyatoa kwa vyombo vya habari kuidhalilisha hoteli yangu juu ya huduma zake na kiwango chake alichokiita cha huduma mbovu!.
 Kimsingi management ya Peter safari’s Hotel na Uongozi wa chama cha wamiliki wa Mahotel Mkoa wa Mbeya, tumesoma na kusikiliza kwa masikitiko makubwa lawama zilizotolewa na Kocha huyo kuwa “hajawahi kulala kwenye hoteli ya hadhi ya chini kama hii katika nchi 20 alizowahi kufanya kazi katika nchi za Afrika”. 
Uongozi wa hotel na chama cha wamiliki wa hotel kwa ujumla kinachukulia suala hili kama kampeni maalumu ya kudhalilisha na kukatisha tamaa wateja kuiona mbeya haina hotel za hadhi za kuishi timu na watu wenye hadhi katika jamii, kitu ambacho si kweli na ni visingizio kutokana kushindwa kwake kuwezesha timu kufikia matarajio ya mashabiki na wapenzi wa timu hiyo. 

 Kimsingi viongozi wa Timu ya yanga waliomba kuwalaza wachezaji wawili katika kitanda kimoja tofauti na taratibu za hotel na hii ilitokana na mipangilio yao hasa kwenye suala la uwezo wa kulipia kila mchezaji chumba chake, aidha, uongozi wa hotel ulijitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuhakikisha kuwa wachezaji wanapata huduma walizohitaji na hata wakati mwingine kutoa usafiri kwaajili ya kununua mahitaji ya familia zao kitu ambacho hakifanyiki maeneo mengine kwa gharama za hotel. 

 Kwa kutambua madhara yaliyotokana na matamshi ya kocha huyo raia wa Ubelgiji, Uongozi wa hotel ya Peter Safaris unayaona matamshi haya kama udhalilishaji mkubwa na wenye nia mbaya ya kuuharibia mkoa wa mbeya na kuutangaza vibaya kwa wageni juu ya uwezo wake katika utoaji wa huduma za hoteli. 
 Aidha kwakuwa maneno ya kocha huyo yametamkwa na kutangazwa kwenye vyombo vya habari pasipo kukanushwa na viongozi wa Timu ya Yanga ambao ndiyo waliofanya maandalizi na kufanya mazungumzo ya maombi ya kuwalaza wachezaji wawili katika vyumba ambavyo vina uwezo wa kulaza mtu mmoja (single), Peter safaris inaliona jambo hilo kama ni sehemu ya kashfa iliyojengwa kwa nia ya kuiharibia hotel biashara na kuipotezea hadhi mbele ya wageni na watumiaji wa huduma za PETER SAFARIS ambayo inaendelea kupanua huduma zake kwa mkoa wa mbeya na maeneo mengine. 

Ikumbukwe kuwa Peter safaris hotels imekuwa ikipokea wageni wa hadhi mbalimbali wakiwemo viongozi wa ngazi za kitaifa, wageni kutoka nje wa hadhi za juu na wafanyabiashara wakubwa, hivyo ugeni wa Yanga na hadhi inayozungumzwa na Kocha huyo hauwezi kufikia mahala pa kuidhalilisha hotel kwa kiwango hicho ambacho kocha huyo amevitumia vyombo vya habari licha ya hotel kutopata maoni yoyote baada ya timu kuhudumiwa kwenye sanduku la maoni(suggestion box).

 Kutokana na hali hii iliyojitokeza, uongozi wa Hotel unautaka uongozi wa Yanga kuiomba radhi management ya Hotel ya Peter safaris kwa lugha ya kashfa na isiyoendana na utamaduni wa Mtanzania kwakuzingatia kuwa wachezaji wakiulizwa namna walivyohudumiwa wasingeweza kuzungumza hayo ambayo mwalimu wao ameyazungumza kwa utashi wake. 

PETER SAFAR’s inalichukulia jambo hili kwa uzito unaostahili kwakuzingatia kuwa lugha iliyotolewa na mteja wake huyo imevuka kiwango cha kuvumilika, na njia pekee ambayo tunadhani ni ya uungwana kabla ya kuingia kwenye taratibu za kisheria ni kuwataka YANGA kuomba radhi kwa lugha ya dharau na kashfa dhidi ya hotel yetu vinginevyo tunakusudia kuchua hatua za kisheria kwa kuzingatia kuwa hotel inaendeleshwa kwa mujibu wa taratibu na sheria zinazotawala huduma za hotel na zile za mipango miji ambazo masuala ya usafi ni miongoni mwa maeneo muhimu ya kukidhi viwango vya uendeshaji wake. 
Ninawashukuruni kwa mahudhulio yenu Nawasilisha MKURUGENZI MTENDAJI PETER SAFARI’s HOTEL MBEYA.

ADVERTISEMENT
Previous Post

Yanga Yamtimua Kocha

Next Post

Fidstyle Friday: Week 24 with Stamina

admin

admin

RelatedPosts

CRDB, USAID Na DFC Kutoa Shilingi Bilioni 100 Kwenye Sekta Ya Elimu, Afya, Biashara Ndogo Na Kati Pamoja Na Sekta Zisizo Rasmi Tanzania
Uncategorized

CRDB, USAID Na DFC Kutoa Shilingi Bilioni 100 Kwenye Sekta Ya Elimu, Afya, Biashara Ndogo Na Kati Pamoja Na Sekta Zisizo Rasmi Tanzania

by admin
June 30, 2022
0

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) kwa pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dkt. Donald Wright...

Read more
WANANCHI WATAKIWA KUFIKA BANDA LA AKIBA COMMERCIAL BANK KATIKA MAONESHO YA SABASABA KUPATA HUDUMA

WANANCHI WATAKIWA KUFIKA BANDA LA AKIBA COMMERCIAL BANK KATIKA MAONESHO YA SABASABA KUPATA HUDUMA

June 30, 2022
NMB WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WENYE ULEMAVU DODOMA

NMB WASHIRIKI MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WENYE ULEMAVU DODOMA

June 30, 2022
Viongozi wa Zamani Obama na Merkel Kuonana Huko Washington

Viongozi wa Zamani Obama na Merkel Kuonana Huko Washington

June 30, 2022
Wasanii 3 wa Lebo ya WCB Wasafi Watinga Bungeni Dodoma

Wasanii 3 wa Lebo ya WCB Wasafi Watinga Bungeni Dodoma

June 29, 2022
Rais Samia Amteua Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini

Rais Samia Amteua Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Nchini

June 29, 2022
Load More
Next Post

Fidstyle Friday: Week 24 with Stamina

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

July 2, 2022
MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

MFAUME AMKALISHA ABDULMONEM SAID ROUND YA 2 TU

July 1, 2022
PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

PSSSF YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 11.85 KUTOKA CRDB KWENYE UWEKEZAJI WA HISA

June 30, 2022
BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 36.1 KWA SERIKALI

June 30, 2022
RADHANi NGODA ” MIMI NDIE MTANGAZAJI PEKEE WA FAINALI MAGOLI 6″

RADHANi NGODA ” MIMI NDIE MTANGAZAJI PEKEE WA FAINALI MAGOLI 6″

July 3, 2022
ALI KAMWE “MPIRA UNAHITAJI PESA”

ALI KAMWE “MPIRA UNAHITAJI PESA”

July 3, 2022
YANGA YACHUKUA UBINGWA MICHUANO YA AZAM

YANGA YACHUKUA UBINGWA MICHUANO YA AZAM

July 3, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

July 2, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In