…watu walipata fulsa ya kubadilisha mawili matatu.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo akizungumza machache katika ufunguzi wa maonyesho ya Tigo Mama AfriKa sarakasi yanayoendelea katika ukumbi wa ukumbi wa Mancom ndani ya Centre New World Cinema Mwenge. Maonyesho hayo yanaendelea mpaka ifikapo Oktoba 4, 2012.

Mkurugenzi wa Mancom Centre, Constantine Magavilla akiwakaribisha na kuwashukuru wageni waliokuwa wamefika katika uzinduzi wa Tigo Mama Afrika Sarakasi