Haya sasa Zulia Jekundu la Redds Miss Tanzania ndo kwanza linataka kuanza na Crew nzima ya Star TV ipo tayari kukuletea live Show nzima ya Shindano kubwa la Urembo nchini Tanzania la Redds Miss Tanzania 2012. Pichani juu ni mtangaz Sauda Mwilima akiwa tayari kwa mahojiano na wageni na wapenzi wa urembo.
picha nyingine zinakujia……………..
kwa hisani ya father kidevu blog