



Mbunifu wa mavazi wa kutoka Tanzania,Sheria Ngowi (mwenye koti jeupe) akiwasalimia watazamaji waliofika kujionea Maonyesho ya Mavazi mbali mbali katika tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Jiji la Pretoria,nchini Afrika Kusini.Mavazi ya Mbunifu Sheria Ngowi yalionekena kupendwa sana na watazamaji hao (hawapo pichani),kwani ilikuwa kila vazi likipita walisikika wakipiga kelele za kushangilia.Kwa Picha Zaidi Bofya Hapa na Endelea……..