Mwanadada Elizabeth Michael ama LULU leo ametembelea hospitali ya Ocean Road Iliyopo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa zawadi za fedha kwa ajili ya wagonjwa wa cancer hospitalini hapo. kupitia ukurasa wake wa instagram LULU ameandika
“Naamini Mimi sio mwema sana mpk Mungu akaniwezesha kuona mwezi huu nikiwa mzima na mwenye afya…!kwa kutambua Hilo nimeanza mwezi huu kwa kupita ktk hospital ya OCEAN ROAD na kutoa mchango ili kuwasaidia wagonjwa wa CANCER…!Tuwe na utaratibu wa kuwakumbuka wahitaji kwa chochote tulichonacho! Nawatakia mwezi wenye Baraka na mafanikio!…”Hongera sana lulu kwa moyo wako huu.CREDIT : BONGOMOVIES
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta
Mfanyakazi was Lake oil akimgudumia mteja.kampuni ya Pesapal imezindua suluhisho inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia...
Read more