ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, August 11, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

    UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

    Serikali yatenga Bilioni 11.3/- kuweka lami na viwanda vidogo Njombe Mji

    Serikali yatenga Bilioni 11.3/- kuweka lami na viwanda vidogo Njombe Mji

    NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

    NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

    Air Tanzania yaitakia Kenya Uchaguzi wa Amani

    Air Tanzania yaitakia Kenya Uchaguzi wa Amani

    Rais Samia Awataka Wafanyakazi Hospitali Kuongeza Bidii Kuokoa Maisha ya Watu

    Rais Samia Awataka Wafanyakazi Hospitali Kuongeza Bidii Kuokoa Maisha ya Watu

    Benki ya NBC yadhamini Milioni 10  Mashindano ya Golf

    Benki ya NBC yadhamini Milioni 10 Mashindano ya Golf

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MZEE WA UPAKO:NILIKAMATWA KWA MADAWA YA KULEVYA

admin by admin
November 9, 2013
in Uncategorized
Reading Time: 5 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

ILITOKEA lakini haikuandikwa kwa sababu haikudakwa! Mchungaji wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ amekiri kuwa aliwahi kukamatwa na kuwekwa lupango katika Gereza la Keko, Dar kwa siku 14 akituhumiwa kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya ‘unga’, Risasi Jumamosi lina sauti yake.

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’.

Akizungumza kwa uso wenye majonzi na siha ya huzuni mwishoni mwa wiki iliyopita kanisani kwake Ubungo- Kibangu, Dar, Mzee wa Upako alisema hawezi kuisahau siku hiyo ambayo shetani aliamua kukunjua kucha zake kumwelekea yeye.
Alisema ishu hiyo ilimkuta mwaka 2005 akiwa tayari mtumishi wa Mungu aliye hai, lakini anachomshukuru Mungu ni kwamba alimsimamia kwa nguvu zote.

MCHEZO MZIMA ULIVYOKUWA
Akizungumzia mchezo mzima ulivyokuwa, Mzee wa Upako alisema siku ya tukio (hakuitaja) akiwa kanisani hapo na waumini wake ghafla walitokea askari polisi ambao idadi yao haikumbuki.

Alipotaka kujua shida yao, walisema wao wanatokea Polisi Central, Dar na walikwenda pale kufanya naye mahojiano na kumpekua kwani alikuwa akihisiwa anajishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya.“Polisi walikuja kanisani wakafanya upekuzi, wakaenda nyumbani  nako wakafanya hivyohivyo kisha wakaondoka zao baada ya kutokuona chochote,” alisema Mzee wa Upako.
                                                                               Kamanda Nzowa.
POLISI WA INTERPOL WATUMIKA
Mzee wa Upako anaendelea kufunguka: Siku mbili mbele  wakaja wengine, wakasema wao ni Polisi wa Kimataifa (Interpol). Nao wakasema wamekuja kunipekua, lakini wao licha ya kutokukuta chochote walinikamata na kunipeleka Mahabusu ya Gereza la Keko, Dar ambapo nilikaa kwa muda wa kama wiki mbili.

AZITAJA SIKU ZA MAJARIBU
Mzee wa Upako: Hakika zilikuwa ni siku za majaribu kwangu kukamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya, lilikuwa ni jambo ambalo sijawahi kulifanya achilia mbali kuliwaza.

Licha ya kukaa kwa wiki mbili kule mahabusu, Polisi wa Interpol nao walijiridhisha kwamba mimi sifanyi biashara hiyo, wakaniachia huru niendelee kumtumikia Mungu wangu.
                                                                 Madawa ya kulevya.
AWAGUNDUA WABAYA WAKE
Mchungaji huyo maarufu kwa msemo wake WATASHINDANA, LAKINI HAWATASHINDA aliendelea kusema kuwa aligundua kukamatwa kwake kulitokana na mpango wa siri uliofanywa na baadhi ya wachungaji wenzake (hakuwataja majina) kwa ajili ya kumdhoofisha kiimani.
“Zilikuwa ni mbinu chafu za kunidhoofisha kiimani kutoka kwa baadhi ya wachungaji wenzangu wenye wivu na huduma yangu. Lakini kwa jina la Yesu aliye hai walishindwa, watashindana lakini hawatashinda,” alisema Mzee wa Upako.

AHISI KUONDOLEWA HADHI
Mzee wa Upako alisema tukio hilo aliliona kama la kumwondelea hadhi katika jamii, hususan kwa waumini wake lakini kwa kuwa yeye ni ‘super charge’ kamwe hawezi kuruhusu imani yake iyumbishwe na hila za muovu shetani.

ANACHOMSHUKURIA MUNGU
Mchungaji huyo alisema baada ya kutoka Keko alimshukuru Mungu kwa vile hakuna chombo chochote cha habari kilichofuatilia juu ya sakata hilo na kwamba gazeti hili (Risasi Jumamosi) linakuwa la kwanza kuandika.
“Nashukuru hakuna chombo chochote cha habari kilichogundua juu ya habari hiyo, ninyi mnakuwa wa kwanza kuijua na hata kuiandika kama mtapenda,” alisema Mzee wa Upako.

APINGA DHANA YA WATUMISHI WA MUNGU KUUZA UNGA
Akizungumzia kwa undani sakata la watumishi wa Mungu kujihusisha na biashara ya unga, Mzee wa Upako alisema:
“Siamini kama kweli kuna watumishi wa Mungu wa hapa Tanzania wanafanya biashara hiyo. Kinachotokea ni kwamba, watu wamekuwa wakiwasingizia watumishi kwa sababu zao.”

WAUMINI WAKE SASA
Juzi Alhamisi, Risasi Jumamosi liliwasiliana na baadhi ya waumini wa kanisa hilo ambapo walisema mtumishi wao huyo amekuwa akionewa kijicho kutokana na mafanikio yake ya kiroho na kimwili.

“Sisi waumini wa GRC tukisikia lolote baya kuhusu Mzee wa Upako huwa hatushtuki kwa sababu wapo baadhi ya watumishi wa Mungu wanamuonea kijicho kwa sababu ana mafaniko ya kiroho na kiimani,” alisema muumini mmoja bila kutaja jina.
Mwingine alisema nguvu kubwa ya kiroho aliyonayo mtumishi huyo imemfanya aibue maadui wasio na hofu ya Mungu kwa kumpakazia skendo mbalimbali wakiamini akichafuka waumini watamkimbia.

Jumatano iliyopita, paparazi wetu alifika Kituo Kikuu cha Polisi (Police Central), Dar na kuulizia ishu hiyo ambapo afande mmoja alisema anayeweza kujua ni IGP Mstaafu, Omary Mahita ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania.
Hata hivyo, juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa ziligonga mwamba kufuatia simu yake ya kiganjani kutokupatikana hewani.

credits ; GPL

ADVERTISEMENT
Previous Post

Wema na Diamond wamfanya Huddah awe gumzo la mtandao bongo. “Aitwa shujaa”

Next Post

NIGERIA U17 MABINGWA WA DUNIA 2013

admin

admin

RelatedPosts

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini
BUSINESS NEWS

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

by admin
August 10, 2022
0

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biasharawa NMB- Bw. Filbert Mponzi(katikati) akizungumza kwenye maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika jijini Mbeya....

Read more
Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

August 9, 2022
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

August 9, 2022
Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

August 8, 2022
NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

August 7, 2022
Benki ya NMB yaahidi kuendelea kutoa mikopo kwa wawekezaji  sekta ya nishati nchini

Benki ya NMB yaahidi kuendelea kutoa mikopo kwa wawekezaji  sekta ya nishati nchini

August 5, 2022
Load More
Next Post

NIGERIA U17 MABINGWA WA DUNIA 2013

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

August 8, 2022
SERIKALI ZANZIBAR YAWEKA MKAZO KULIFANYIA MAZURI JESHI LA POLISI ZANZIBAR

SERIKALI ZANZIBAR YAWEKA MKAZO KULIFANYIA MAZURI JESHI LA POLISI ZANZIBAR

August 5, 2022
Benki ya NBC yadhamini Milioni 10  Mashindano ya Golf

Benki ya NBC yadhamini Milioni 10 Mashindano ya Golf

August 10, 2022
Rais Samia Awasili Mbeya Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi Jengo Jipya la Mama Na Mtoto

Rais Samia Awasili Mbeya Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi Jengo Jipya la Mama Na Mtoto

August 5, 2022
Naibu Spika Zungu Achukua Kits Tayari kwa Kushiriki CRDB Marathon Msimu wa 3

Naibu Spika Zungu Achukua Kits Tayari kwa Kushiriki CRDB Marathon Msimu wa 3

August 11, 2022
SIMBA SC YAENDELEZA MAANDALIZI MCHUANO WA NGAO YA JAMII

SIMBA SC YAENDELEZA MAANDALIZI MCHUANO WA NGAO YA JAMII

August 11, 2022
Magwiji wa Soka Waonesha Soka la Pila Biriani uwanja wa Shule ya St.Costantine, Arusha

Magwiji wa Soka Waonesha Soka la Pila Biriani uwanja wa Shule ya St.Costantine, Arusha

August 11, 2022
UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

August 11, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In