ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    TIGO KWENDA KUMKABIDHI GARI MSHINDI WA NDINGA LA KISHUA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MASHAMBA YA BANGI ZAIDI YA HEKTA 6 YATEKETEZWA KWA MOTO, GEITA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    MBUNGE ATAKA KAMPUNI ZA MAWASILIANO ZIFIDIE WATEJA

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Idadi ya Waliofariki katika Tetemeko kubwa la Ardhi Uturuki yafikia Zaidi ya Watu 300

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Binti asema alibakwa na Mchungaji “Nilijikuta kifuani mwa nabii tukiwa wote watupu

admin by admin
November 14, 2013
in Uncategorized
Reading Time: 3 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

”   MCHUNGAJI wa Kanisa la Shakinah Pentecostal la mjini Dodoma, Nabii Elisha Mliri, ambaye pia ni mume wa marehemu Angela Chibalonza, aliyekuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili, anatuhumiwa kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu wa Shule ya City High School (jina linahifadhiwa).   Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, mama mzazi wa mwanafunzi huyo, Mary Mkombola (49) alidai kuwa  mwanaye alikuwa akisumbuliwa na mapepo, hivyo akaamua kumpeleka kwa Nabii  Elisha  ili aweze kuombewa tatizo hilo lililokuwa likimsumbua.   Mama huyo alisema kuwa mara baada ya kumpeleka binti yake, alifanyiwa maombi na nabii huyo na kisha kuelezwa kuwa alikuwa anasumbuliwa na pepo ambalo pia lingemharibia masomo yake.   Kwa mujibu wa mama huyo, baada ya mchungaji kumfanyia maombi  binti yake, alimwambia kuwa atamsaidia kumsomesha kwa kumlipia ada ya mwaka mzima kutokana na yeye kuwa mjane.   “Alimdanganya atamlipia ada ya mwaka mmoja sh 400,000 ili aendelee na masomo halafu akaniambia kuwa ataniombea na mimi ili niweze kupata uwezo wa kuendelea kumsomesha,” alisema mama huyo.   Aliongeza kuwa mara baada ya kukubaliana na mtoto wake, alipeleka taarifa shuleni ambako aliambiwa apeleke barua ya kuthibitisha kuwa atakuwa anamlipia ada mwanafunzi huyo.   Mkombola alifafanua kuwa aliongeza kuwa mara baada ya kupeleka barua shuleni na kukubaliwa, mtoto huyo aliendelea na masomo yake lakini baadaye alianza kumhisi ni mjamzito.   Alisema kuwa alimuuliza kama ana ujauzito akawa hataki kumwambia ndipo akaamua kumchapa na kukimbilia kwa mama yake mkubwa maeneo ya Mbwanga.   “Alipokimbilia kule ndipo akaenda kuwaeleza mama zake wakubwa kuwa mama ananipiga wakati mimba nimeipata kule alikonipeleka nikafanyiwe maombi, ikabidi wanipigie simu na kuniambia kuwa mwanangu ana ujauzito na amepewa na Nabii Elisha.   “Nilimuuliza akanisimulia mambo yote ambayo amekuwa akifanyiwa na nabii huyo tangu alipopelekwa kufanyiwa maombi mwezi Machi mwaka huu,” alisema.   Mama huyo aliongeza kuwa waliamua kwenda polisi kutoa taarifa na kupatiwa fomu ya matibabu kwa ajili ya vipimo ambapo binti  huyo aligundulika kuwa ana ujauzito.   Alisema kuwa walipeleka majibu hayo polisi na kutoa maelezo ambapo waliambiwa kuwa wasubiri uchunguzi unaendelea na utachukua muda mrefu.   “Tulitoa maelezo polisi mimi na mwanangu na kuambiwa kuwa tusubiri bado wanafanya uchunguzi lakini muda umepita sasa na mtoto tumbo linazidi kukua na masomo kasimama bila kujua hatima yake,” alisema.  Alibainisha kuwa mara baada ya baadhi ya viongozi wa kanisa hilo kupata taarifa, walimfuata mama huyo wakimsihi asilipeleke suala hilo polisi bali wao watalimaliza.   “Walinifuata watumishi wawili ambao ni Nabii Mgamba na Nabii Monika wakasema nisifanye lolote wao watamtunza au kama ikiwezekana tuitoe mimba hii, jambo ambalo sikukubaliana nalo,” alisema.   Naye mwanafunzi huyo alisema kuwa Juni 8, mwaka huu, asubuhi alipigiwa simu na Nabii Elisha akamwambia aende mjini na alipofika alimpakia kwenye gari lake na kwenda naye kwenye nyumba ya kulala wageni iliyoko maeneo ya jirani na Chuo cha CBE mjini hapa.   “Nilimuuliza tunakwenda wapi, akaniambia tunakwenda kanisani lakini cha kushangaza tulilipita kanisa, hivyo nikawa na wasiwasi lakini kabla hatujafika tulikokuwa tunakwenda tukapita sehemu akaongeza upepo kwenye tairi,” alisema.   Kwamba baada ya kujaza upepo, waliondoka na kwenda katika nyumba hiyo ya kulala wageni lakini kabla hawajashuka alimpatia soda aina ya Fanta akanywa na muda mfupi akapoteza fahamu kidogo na alipozinduka akajikuta anafanya mapenzi na mchungaji huyo.   “Nilijikuta kifuani mwa nabii tukiwa wote watupu, nikaanza kulia, akanibembeleza na kuniambia ‘unafikiri kukulipia ada yote hiyo ilikuwa ni bure’ mbona wapo watu wengi sijawalipia ada, lazima nifanye na wewe mapenzi mara tano, kwa hiyo bado mara nne nitafanya na wewe hata kwa nguvu na ukimwambia mtu nitakuua kwa maombi,” alisema.   Binti huyo alidai kuwa tangu siku hiyo hakuweza kuziona siku zake tena mpaka mama yake alipoanza kumhisi kuwa ana ujauzito na kumpeleka kupima na kubainika ni kweli.   Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Suzan Kaganda, alithibitisha kuwa tayari walikwisha kuyapokea malalamiko ya mwanafunzi huyo na wanayafanyia kazi.   “Tunayafanyia kazi, kwani tulipata malalamiko hayo lakini tunasubiri hadi atakapo jifungua tuweze kutumia kipimo cha vinasaba (DNA) kuthibitisha aliyempa ujauzito,” alisema.  Alipotafutwa Nabii Elisha alisema kuwa hayuko Dodoma kwa wakati huu na kumtaka mwandishi aende polisi atapata maelezo zaidi.
  — Imeandikwa na Hamida Ramadhan TanzaniaDaima 

ADVERTISEMENT
Previous Post

BODI YA MIKOPO YAKUSANYA BILIONI 20/-

Next Post

DIAMOND AZIDI KUZITUMIA FURSA NIGERIA

admin

admin

RelatedPosts

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima
Uncategorized

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

by iamkrantz
January 31, 2023
0

Kutoka Kushoto: Mkuu wa Idara ya Bima - Benki ya NMB, Martine Massawe; Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware;...

Read more
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

January 25, 2023
Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

January 25, 2023
MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

January 23, 2023
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

January 23, 2023
Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

January 23, 2023
Load More
Next Post

DIAMOND AZIDI KUZITUMIA FURSA NIGERIA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

February 6, 2023
Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

Simba SC yaibuka Kinara Mechi ya Kwanza Dhidi ya Geita Gold FC Ligi Kuu ya NBC 2022/2023

August 18, 2022
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

February 7, 2023
DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

February 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

February 7, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumanne Februari 7,2023

February 7, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In