ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, August 18, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wakurugenzi wa Halotel Kumpongeza IGP Camilius Wambura Nafasi yake mpya

    Wakurugenzi wa Halotel Kumpongeza IGP Camilius Wambura Nafasi yake mpya

    Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

    Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

    Bi. Brenda Msangi  aeleza juu ya Programu ya CCBRT ya “Mabinti Center” kwa Dkt. Bärbel Kofle pamoja na washirika

    Bi. Brenda Msangi aeleza juu ya Programu ya CCBRT ya “Mabinti Center” kwa Dkt. Bärbel Kofle pamoja na washirika

    Rais Samia aridhia Agosti 23 kuwa siku ya mapumziko

    Rais Samia aridhia Agosti 23 kuwa siku ya mapumziko

    HABARI ZA HIVI PUNDE: RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

    HABARI ZA HIVI PUNDE: RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

    BASHUNGWA”TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA”

    BASHUNGWA”TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

HUYU NDIYE ALIYEMTUMA MWANADADA MREMBO MASOGANGE KUBEBA MADAWA YA KULEVYA KUTOKA TANZANIA KWENDA AFRIKA YA KUSINI KISHA KUKAMATWA

admin by admin
January 19, 2014
in Uncategorized
Reading Time: 4 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Melisa Edward.

HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo huo kuwa ni Mkongomani, Risasi Jumamosi limedondokewa na ‘kismati’.

Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’.
Katika mahojiano ‘spesho’ na gazeti hili yaliyofanyika kwenye ofisi za Global Publishers, Bamaga, Mwenge, Dar es Salaam, juzi, Masogange aliamua kumwanika kigogo huyo huku akimtaja jina bila kuuma maneno.

TWENDE PAMOJA
Risasi: Masogange tumekuita leo hapa kwa ajili ya mahojiano maalum. Tangu umerudi Bongo toka Afrika Kusini ulikokutwa na ule msala wako, naamini hujawahi kuzungumza na chombo chochote cha habari. Uongo, kweli?
Masogange: Kweli kabisa.

Risasi: Risasi linakukaribisha tuzungumze mambo muhimu, lakini kubwa kuliko yote, hebu mtaje mtu aliyekutuma kubeba ule unga ambao ulikamatwa nao Afrika Kusini.
Masogange: (akionesha sura ya umakini) kusema ule ukweli, ni…(anamtaja jina). Huyu bwana ndiye aliyeniponza kwa yote yale.
Risasi: (bila mshtuko baada ya kutajwa kwa jina hilo). Huyo mtu ni Mtanzania kweli?

Masogange: Hapana, ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ila anaishi Tanzania miaka nenda, miaka rudi.

Risasi: Sasa Masogange, huyu mtu ilikuwajekuwaje hadi akakutuma kupeleka mzigo ule Afrika Kusini, hapo pana utata kidogo.
Masogange: Wengi hawajui. Iko hivi, siku ile (Julai 5, 2013) mimi nilikuwa nasafiri kwenda Sauz kwa mambo yangu tu. Nilipofika pale Uwanja wa Ndege (Julius Nyerere International Airpot) nilimkuta huyo mtu.

Risasi: Naye akiwa anasafiri kwenda huko?
Masogange: Hapana. Yeye tunafahamiana kwa muda mrefu, aliponiona aliniuliza kama nakwenda Sauz, nikamwambia ndiyo. Akasema anaomba nimbebee mizigo yake ya sukari.
Nilimkatalia, lakini akasema kuna mtu atanipokea Uwanja wa Ndege (wa Kimataifa wa Oliver Tambo) uliopo (Kempton Park) Johannesburg.

Basi nilimkubalia, lakini…
Risasi: Subiri kwanza Masogange. Hapo una maana wewe kazi yako ilikuwa kubeba tu, baada ya kutua kule ungekutana na mwenye mzigo, Je, uliuangalia mzigo wenyewe kama kweli ni sukari?

Masogange: Ndiyo. Nilimwambia anifungulie nione kama kweli ni sukari, akafungua begi moja, nikachungulia na kuona kweli ni sukari nyeupe!

Nilimwambia kama anataka nimsaidie kuufikisha Afrika Kusini, apeleke mpaka kwenye ndege ili kunipunguzia kazi ya kubebabeba. Nikifika Sauz nitamtolea huyo mtu sukari yake.
Basi, akapeleka mpaka kwenye ndege, mimi nikapanda na safari ikaanza.

Risasi: Subiri kidogo Masogange. Wewe ulikamatwa na mtu anayedaiwa ni ndugu yako, Melisa Edward. Mbona humtaji?
Masogange: Oke, yule tulikuwa safari moja tu. Lakini yule Mkongomani anajuana na mimi.
Risasi: Oke, endelea.

Masogange: Tulifika uwanja wa ndege salama. Nikashuka na yale mabegi nayo, lakini cha ajabu wakatokea askari na kutukamata.
Waliniuliza nimebeba nini? Nikawaambia sukari, wakasema siyo sukari, wakanitaka nilambe. Kulamba hivi, ndiyo nikajua kweli siyo sukari, tukawekwa chini ya ulinzi na kupelekwa kwenye vyombo vyao vya sheria kwa hatua zaidi.

Risasi: Pole sana. Kwa hiyo yule mtu ambaye angepokea mzigo kule Sauz ulimwona ulipotua uwanjwa wa ndege?
Masogange: Sikuwa namjua kwa sura, nilipewa mawasiliano yake tu. Kuna uwezekano alituona wakati tumekamatwa na polisi maana tulizungukwa na watu wengi.

Risasi: Unakumbuka yalikuwa mabegi mangapi ya hiyo ‘sukari’?
Masogange: Hata sikumbuki vizuri mimi, nilishachanganyikiwaga jamani, yalipita yale.
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison George Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari kwa kuwaonyesha picha ya Agnes Gerald ‘Masogange’ katika simu ya samsung Tab. 

ANAYEMJUA MWAKYEMBE
Siku chache baada ya mlimbwende huyo kunaswa Sauz, Bongo, Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison George Mwakyembe alimtaja kijana ajulikanaye kwa jina moja la Mangunga kwamba ndiye aliyedaiwa kuwa na video queen huyo ndani ya ndege kwenda Afrika Kusini.
 
Kamanda Nzoa aliwataja wanawake hao baada ya kukamatwa kuwa ni Agnes Jerald ambaye alisema hajapiga hesabu ya umri wao, ila alizaliwa mwaka 1988 na Melisa Edward ambaye alisema amezaliwa mwaka 1989. 

Mwakyembe aliamuru kijana huyo asakwe na kukamatwa ili kujibu mashitaka ya kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Methamphetamine kwa Tanzania huku Sauz ikisema ‘unga’ huo ni ephedrine ambao si wa kulevywa bali ni malighafi haramu.
 
Nassoro. 
 
Masogange na mwezake, Melisa walikamatwa Julai 5, mwaka jana kwenye uwanja huo wa ndege nchini humo wakiwa na madawa hayo yaliyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi bilioni 6.8.

Kesi yake iliendeshwa na Mahakama Kuu ya Gauteng iliyopo Kempton Park nchini humo na alikutwa na hatia ambapo alihukumiwa kwenda jela miezi 32 au kulipa faini ya randi 30,000 (shilingi milioni 4.8). Masogange alilipa faini huku mwenzake, Melisa akiachiwa huru kukutwa hana hatia.
Source:http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/masogan

ADVERTISEMENT
Previous Post

BABY MADAHA ANASA MTEGO WA KUJIUZA SOMA HAPA MCHEZO MZIMA

Next Post

VJ Penny talks about life and her relationship with Diamond Platinumz –

admin

admin

RelatedPosts

WAZIRI GWAJIMA AIPONGEZA NMB KUWAJALI MACHINGA
Uncategorized

WAZIRI GWAJIMA AIPONGEZA NMB KUWAJALI MACHINGA

by admin
August 15, 2022
0

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameipongeza benki ya NMB kwa kutenga...

Read more
Hii ndio dawa ya wezi wa magari 

Hii ndio dawa ya wezi wa magari 

August 14, 2022
NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

August 10, 2022
Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

August 9, 2022
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

August 9, 2022
Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

August 8, 2022
Load More
Next Post

VJ Penny talks about life and her relationship with Diamond Platinumz -

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

August 10, 2022
AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI  TAMASHA LA AZAMKA 2022

AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI TAMASHA LA AZAMKA 2022

August 16, 2022
Pesapal yapewa Leseni na Benki Kuu ya Tanzania kwa Utoaji Huduma Kwa Mfumo wa Kidigitali Zaidi

Pesapal yapewa Leseni na Benki Kuu ya Tanzania kwa Utoaji Huduma Kwa Mfumo wa Kidigitali Zaidi

August 17, 2022
Hii ndio dawa ya wezi wa magari 

Hii ndio dawa ya wezi wa magari 

August 14, 2022
Wakurugenzi wa Halotel Kumpongeza IGP Camilius Wambura Nafasi yake mpya

Wakurugenzi wa Halotel Kumpongeza IGP Camilius Wambura Nafasi yake mpya

August 18, 2022
Vodacom Tanzania yawajengea uwezo wa Tehama Wanafunzi wa kike jijini Dodoma

Vodacom Tanzania yawajengea uwezo wa Tehama Wanafunzi wa kike jijini Dodoma

August 18, 2022
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022

August 18, 2022
Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

August 18, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In