ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Saturday, August 13, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

    Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

    BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

    BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

    Rais Samia Akamilisha Ziara yake Mkoani Njombe

    Rais Samia Akamilisha Ziara yake Mkoani Njombe

    UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

    UGENI KUTOKA NIGERIA WAWASILI NCHINI KUJIFUNZA MASUALA YA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA

    Serikali yatenga Bilioni 11.3/- kuweka lami na viwanda vidogo Njombe Mji

    Serikali yatenga Bilioni 11.3/- kuweka lami na viwanda vidogo Njombe Mji

    NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

    NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

YANGA SC: KAVUMBANGU NA DOMAYO WAMEONDOKA KWA MAPENZI YAO, ILA TUTASAJILI WAKALI WENGINE

admin by admin
May 4, 2014
in Uncategorized
Reading Time: 3 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

KLABU ya Yanga SC imewataka wanachama wake, wapenzi wa soka na wadau kwa ujumla wasikatishwe tamaa na kuhama kwa wachezaji wake, Mrundi Didier Kavumbagu na mzalendo Frank Domayo kwenda Azam FC, kwani uongozi umepanga kuboresha kikosi kwa kusajili wakali wengine.
Taarifa ya Yanga SC kwenye tovuti yao imesema kwamba wachezaji hao wamehama kwa mapenzi yao wenyewe, kwani walikwishakubaliana na uongozi kila kitu juu ya kuendelea kuitumikia Yanga kabla ya siku mbili hizi kuonekana wakiwa wamejiunga na Azam.

Atabomoa benki? Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji ndiye tegemeo la fedha za usajili na uendeshaji timu kwa ujumla

“Yanga tayari ina wachezaji watatu wenye mikataba inayoendelea na kama kanuni za VPL kwa wachezai wa kimataifa kuwa watatu zitatumika wachezaji Haruna Niyonzima, Hamisi Kizza na Emmanuel Okwi ndio watakaoendelea, hivyo uongozi uliomba mwongozo kwa TFF juu ya taratibu zitakazotumika kwa msimu ujao kabla ya kuwasainisha Kavumbagu na Twite. 
Awali uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye mazungumzo na wachezaji hao tangu mwanzoni mwa msimu wa 2013/2014 juu ya kuongezewa muda wa mikataba yao ili waweze kuendelea kuitumika Yanga kwa ajili msimu mpya ujao 2014/2015.
Didier Kavumbagu na Mbuyu Twite ambao mikataba yao ilikuwa mwishoni waliongea na uongozi tangu mapema mwaka jana mwezi wa Septemba juu ya kuweka sahihi zao na kuendelea kuitumikia Yanga na  kukubaliana mambo yote ya msingi kikubwa kilichokuwa kinasubiriwa ni maamuzi ya TFF juu ya usajili wa wachezaji wa kigeni msimu mpya wa 2014/2015 kwani Azimio la Bagamoyo linapaswa kuanza kutekelezwa msimu huu
Uongozi wa Yanga uliandikia TFF  barua mapema kuomba kupewa mwongozo wa kanuni zitakazotumika kwenye usajli kwa wachezaji wa kimataifa kwa msimu mpya kufuatia Azimio la Bagamoyo kuelekeza msimu huu kila timu inapasa kuwa na wachezaji watatu wa kigeni, mpaka sasa uongozi wa Yanga haujapata majibu juu ya utaratibu utakaotumika kwenye msimu wa Ligi Kuu ijayo.
Hivyo makubaliano ya wachezaji Didier Kavumbagu, Mbuyu Twite na uongozi wa Yanga SC yalikua yakisubira majibu ya TFF juu ya kanuni zipi zitakazotumika kwenye usajili msimu wa 2014/2015 kwa wachezaji wa kigeni na katika hali ya kushangaza Kavumbagu akaonekana tayari ameshasaini kuichezea timu ya Azam FC.
Kuhusu Frank Domayo aliyeripotiwa jana kujiunga na Azam FC pia alikuwa katika makubaliano ya kuongeza mkataa tangu mwezi Julai 2013, alikubaliana na uongozi juu ya mambo yote ya msingi na kilichobakia ilikuwa ni kuweka sahihi kwenye mkataba mpya, lakini Domayo alisema hawezi kusaini mpaka siku atakapokuja mjomba wake ambaye ndie wakala wake na ahadi hiyo iliendelea kwa muda wa mwaka mzima kabla ya jana kusikia ameshasaini timu nyngine.
Habari hizi zimewashitua wapenzi, wanachama na washabiki wa Young Africans lakini ukweli ni kuwa wachezaji wenyewe walisindwa kuwa wakweli kwa viongozi na mwisho wa siku walikua na mipango yao ya kuondoka, hivyo uongozi ulijtahid kadri ya uwezo wake lakini wachezaji wanaonekana hawakua tayari kuendelea kuichezea Yanga SC.
Taarifa kamili kuhusu mipango ya timu kwa msimu ujao pamoja na ripoti ya kocha mkuu Hans pamoja na benchi lake la Ufundi zitatolewa hivi karibuni baada ya benchi la ufundi na uongozi kukaa kwa pamoja na kuafikiana mipango ya msimu ujao.
Aidha uongozi wa Yanga SC unawaomba wanachama wake, wapenzi na washabiki wasiwe na wasi wasi juu ya kuondoka kwa wachezaji hao kwani Yanga bado ina nafasi wachezaji wengi wenye vipaji na itaendelea kuboresha kikosi chake kwa kuzingatia maelekezo ya kocha mkuu Hans katika usajli wa msimu ujao,” imesema taarifa hiyo.

ADVERTISEMENT
Previous Post

TASWIRA;TUKIO ZIMA KATIKA PICHA TUZO LA KILIMANJARO MUSIC AWARDS JANA MLIMANI CITY

Next Post

MAYWEATHER ASHINDA, LAKINI AKIONA CHA MOTO

admin

admin

RelatedPosts

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini
BUSINESS NEWS

NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini

by admin
August 10, 2022
0

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biasharawa NMB- Bw. Filbert Mponzi(katikati) akizungumza kwenye maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika jijini Mbeya....

Read more
Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

Hii ndio tiba ya kuondoa mikosi maishani yenye uhakika zaidi

August 9, 2022
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AIPONGEZA BENKI YA CRDB, AHITIMISHA MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

August 9, 2022
Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

August 8, 2022
NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

NMB Mshiko Fasta kuwanufaisha wakulima

August 7, 2022
Benki ya NMB yaahidi kuendelea kutoa mikopo kwa wawekezaji  sekta ya nishati nchini

Benki ya NMB yaahidi kuendelea kutoa mikopo kwa wawekezaji  sekta ya nishati nchini

August 5, 2022
Load More
Next Post

MAYWEATHER ASHINDA, LAKINI AKIONA CHA MOTO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

Mainstream Media Limited Waendesha Mafunzo Maalumu kwa Wakufunzi wa Vicoba  .

August 8, 2022
Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

August 10, 2022
Benki ya NBC yadhamini Milioni 10  Mashindano ya Golf

Benki ya NBC yadhamini Milioni 10 Mashindano ya Golf

August 10, 2022
AIRTEL YAIBUKA NAFASI YA PILI TUZO ZA HUDUMA BORA

AIRTEL YAIBUKA NAFASI YA PILI TUZO ZA HUDUMA BORA

August 9, 2022
Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

Rais Samia Akiwa katika Ziara yake Mkoani Iringa 2022

August 12, 2022
BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

BIL.11 kupelekwa Mafinga kuboresha miundombinu ya Mji

August 12, 2022
Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini

Dkt. Mpango Aitaka NEMC na STAMICO Kufanya Tathimini Migodini

August 12, 2022
Yanga yaagana na Afisa Habari wao, Hassan Bumbuli

Yanga yaagana na Afisa Habari wao, Hassan Bumbuli

August 12, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In