Ameshasahau maisha na 50 Cent kabisa na sasa ametulia kwa rapa Future. Mwanamuziki legendari nchini U.S.A , Ciara amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu na mtoto amepewa jina la Future Zahir Wilburn.
Huyu ni mtoto wa kwanza kwa wawili hao ambao waliweka mahusiano hadharani kuanzia October mwaka jana.
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta
Mfanyakazi was Lake oil akimgudumia mteja.kampuni ya Pesapal imezindua suluhisho inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia...
Read more