Habari za kusikitisha zimezagaa mjini kuwa muigizaji wa filamu nchini Rachel Haule amefariki dunia asubuhi hii. Chanzo kimoja kilicho karibu na muigizaji mmoja ambaye ni rafiki wa karibu na Rachel amesema kuwa Rachel amefariki wakati akijifungua na mtoto pia amefariki. Huu ni msiba mwingine kwa Bongo movie ndani ya mwezi huu baada ya kumpotza Adam Kuambiana. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Amen
Chanzo: Bongo movies.com
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta
Mfanyakazi was Lake oil akimgudumia mteja.kampuni ya Pesapal imezindua suluhisho inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia...
Read more