Kampuni ya Google inaanza kutengeneza gari linalojiendesha lenyewe. Gari hilo litakuwa na kitufe kimoja tu cha ‘kwenda na kusimama’. Hakutakuwa na usukani, vikanyagio vya klachi breki na hata kifimbi cha gia. Picha zilizotolewa na Google zinaonesha kuwa ni gari la ‘kimjini’. Limetengenezwa kwa mtindo ambao hautishi na linasaidia watu kukubali teknolojia na kujiendesha yenyewe. – Sisi madereva tutakula wapi?
Kazi kwetu madereva.
Credit: Salim Kikeke
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kidijitali wa Benki ya NBC, Ulrik Tobias akishuhudia mteja Dosian Augustine akifanya muamala katika...
Read more