Umepita mwaka tangu mwanahiphop na mkali wa free style Tanzania, Albert Mangwea aage Dunia huko Afrika Kusini.
Mkali huyo wa kibao cha Mikasi na vingine vingi aliaga Dunia tarehe 28 May mwaka jana na sababu ya kifo chake hakijulikani mpaka sasa. Ngwea alizaliwa mwaka 1982 na kifo chake kimeacha pengo kubwa katika muziki wa Hip hop Tanzania.
Mungu ailaze roho yake mahali pema. Amen
Sikiliza wimbo wake ambao alirekodi siku chache kabla ya kifo chake, akishirikiana na Mirror, wimbo unaitwa Alma.
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kidijitali wa Benki ya NBC, Ulrik Tobias akishuhudia mteja Dosian Augustine akifanya muamala katika...
Read more