ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Saturday, February 4, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

    NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

    Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

    Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

    SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

    SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

    PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

    PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

    Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

    Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Ijumaa Februari 3,2023

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Kuelekea Brazil: Haya ni matokeo ya mechi za kirafiki jana Jumamosi, majeraha yatawala michezo hiyo.

admin by admin
June 1, 2014
in Uncategorized
Reading Time: 5 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Mexico wameichabanga Croatia kwa mabao 3-1. Mexico wamecheza mchezo huo wa kupimana nguvu wakiwa nyumbani.
Wafungaji wa magoli ya Mexico ni L. Montes dakika ya 33, M. Fabian dakika ya 69 kabla ya kipa wa Ecuador, M. Banguera kujifunga dakika ya 76.
Goli la kufuta machozi la Ecuador lilifungwa dakika ya 80 na J. Jaguar.
Katika mchezo huo mshambuliaji mahiri wa Mexico ambaye ni mfungaji wa goli la kwanza Lous Montes amepata majeraha yatakayompelekea kulikosa kombe la Dunia baada ya kuumia goti na kushindwa kuendelea na mchezo huo.Luis Montes: Mexico midfielder set to miss World Cup

Italia wametoshana nguvu na Ireland kwa kutokufungana, ingawa italia pia wamepata pancha kubwa katika safari yao ya kuelekea Brazil baada ya kiungo mshambuliaji Riccardo Montolivo kuvunjika mguu katika mchezo huo.Injured Montolivo out of World Cup

Vijana wa Van Gaal, walipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Ghana, bao likifungwa na nahodha Robin Van Persie. Baada ya mchezo huo, kocha wa Uholanzi Louis Van Gaal alilalamika kwa kusema timu yake ilihitaji kudi.

Ureno wakicheza bila nahodha wao Christiano Ronaldo ambaye ni majeruhi,walishindwa kufurukuta nyumbani baada ya kutoa sare ya kutokufungana dhidi ya Ugiriki. Kocha wa Ureno Paolo Bento amesema timu yake imefanya vizuri bila Ronaldo.

Paulo Bento: Portugal coach saw his side draw 0-0 with Greece

Colombia wakiwa nyumbani walipata sare ya 2-2 dhidi ya Senegal. Colombia walitangua kupata mabao mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa washambuliaji Teofilo Gutierrez ambaye aiifunga katika dakika ya 11 ya mchezo na Carlos Bacca akifunga goli la pili kabla ya kipenga cha kumaliza kipindi cha kwanza kupulizwa.
Senegal kupitia kwa mchezaji wao Moussa Konate  walijipatia bao la kwanza dakika 2 tu baada ya kuanza kwa kipindi cha lala salama na bao lao la kusawazisha likifungwa dakika tano baadae kupitia kwa kiungo Cheikh Ndoye na kufanya mchezo huo kumalizika kwa ubao kusoma 2-2.

Warusi wakiwa chini ya Fabio Capelo walishindwa kuonesha makucha yao baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Norway.Urusi ilikamata usukani wa mchezo baada ya Olegi Shatov kuipatia goli katika dakika ya 3 ya mchezo, goli hilo lilidumu mpaka dakika ya 77 ambapo Anders Konradsen alirudisha heshima ya Wanorwey. Kocha Fabio Capelo ameilalamikia timu yake kwa kushindwa kucheza katika kiwango alichotarajia na kushindwa kutumia nafasi ipasavyo.Oleg Shatov: Fires Russia into an early lead in the 1-1 draw with Norway

Wawakilishi wengine kutoka Afrika, Algeria waliweka hai matumaini yao ya kufanya vizuri baada ya kuitwanga Armenia kwa mabao 3-1. Essaid Belkalem, Nabil Ghilas na Islam Slimani walifunga magoli hayo matatu katika ngwe ya kwanza ya mchezo huo.
Akitokea bench ndani ya kipindi cha kwanza Artur Sarkisov aliipatia Armenia goli la kufutia machozi dakika chache kabla ya filimbi ya kumaliza kipindi cha kwanza kupulizwa.

.

Uruguay bila mshambuliaji wao tegemezi Luis Suarez walichomoza na ushindi mdogo wa 1-0 dhidi ya Norwey Kaskazini bao likfungwa dakika ya 62 na Christian Stuani aliyetokea benchi.
 Christian Stuani: Celebrates his winning goal for Uruguay

 Wawakilishi wengine wa Afrika katika michuano ya kombe la Dunia, Ivory Cost walisafiri hadi Bosnia ambako walicheza dhidi ya ya timu inayoundwa na Bosnia na Herzegovina. Ivory Cost ilipoteza mchezo huo kwa kupigwa goli 2-1 na wenyeji wo. Huku goli lao la kufutia machozi likifungwa na nahodha Didier Drogba katika dakika ya 90. Magoli yote mawili ya Bosnia na Herzegovina yalifungwa na mshambualiaji wa Man City ya Uingereza, Edin Dzeko dakika ya 17 na 53. Kocha wa Ivory Cost amesema timu yake ilipaswa kupoteza kufuatia madhaifu iliyoonyesha

Chile wamepata ushindi wa 3-2 dhidi ya mafarao wa Misri. Katika mchezo huo ambao Misri walisafiri mpaka Amerika ya Kusini, wenyeji walivutwa jezi hadi dakika ya 77 ambapo nyota wa mchezo huo Vargas aliipatia Chile goli la ushindi.
Mafarao walikuwa wa kwanza kung’aa kupitia kwa Mohamed Salah aliyefunga goli la kuongoza dakika ya 11 ya mchezo akifuatiwa na K Kamar dakika ya 16. Chile ilipata goli lao la kwanza kupitia kwa Diaz dakika ya 26 na hadi kipindi cha kwanza kinamalizika matokeo yalikuwa ni Chile 1- Misri 2.
Kipindi cha pili wenyeji walicharuka na dakika ya 60 Vargasi alisawazisha kabla ya kuishindia Chile dakika ya 77. Alexis Sanchez wa Barcelona alikuwa chachu kubwa ya ushindi wa Chile kwani ndiye aliyepiga pasi za mwisho za magoli yote matatu.

Sanchez kulia

ADVERTISEMENT
Previous Post

George Tyson alikuwa kwenye mchakato wa kuileta Business TOK

Next Post

Ommy Dimpoz amefunguka na kudai kuwa mitandao ya kijamii imempa mchumba….!!

admin

admin

RelatedPosts

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima
Uncategorized

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

by iamkrantz
January 31, 2023
0

Kutoka Kushoto: Mkuu wa Idara ya Bima - Benki ya NMB, Martine Massawe; Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware;...

Read more
Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

January 25, 2023
Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

January 25, 2023
MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

January 23, 2023
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

January 23, 2023
Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

January 23, 2023
Load More
Next Post

Ommy Dimpoz amefunguka na kudai kuwa mitandao ya kijamii imempa mchumba….!!

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

SPORTPESA YANG’AKA YANGA KUKIUKA MAKUBALIANO, KISA MDHAMINI MPYA CAF

February 1, 2023
Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

February 2, 2023
YANGA YATAMBULISHA JEZI MPYA KUTUMIKA SHIRIKISHIO,CAF

YANGA YATAMBULISHA JEZI MPYA KUTUMIKA SHIRIKISHIO,CAF

January 31, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Februari 2,2023

February 2, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

February 3, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

February 3, 2023
SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

SERIKALI YATOA SIKU 7 KUEPUSHA UCHAFUZI WA MAZINGIRA KISA KELELE NA MITETEMO

February 3, 2023
PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

PRECISION AIR YATHIBITISHA NDEGE YAKE KUPATWA NA HITILAFU

February 3, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In