Mkali wa tunzo saba za Billboard, amethihirisha kuwa yeye ni noma baada ya kuachia video kali ambayo amechanganya picha mbalimbali za mashabiki pamoja na vipande vya maonesho ya laivu.
Video hiyo ambayo inakwenda kwa jina la Not a Bad Love Story ni kama shukrani kwa mashabiki kwa upendo anaoupata Timberlake kutoka kwa mashabiki wake. Timberlake amefanya video hiyo kwa kutumia wimbo wake wa Not a Bad Thing kwa hiyo ameingizia picha hizo na kukamilisha video.
Video pamoja na audio vyote ni vikali, bila kumaliza utamu jionee mwenyewe;
NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia
NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Kampuni ya Uuzaji na Usambazaji Gesi ya Oryx...
Read more