Mwanamuziki / Muigizaji wa Filamu H-Baba amelazwa kwenye Hospitali ya Muhimbili baada ya kugundulika kuwa na ugonjwa wa Dengue.
Awali H-Baba hali yake ilikuwa mbaya siku ya Jumatano alipokuwa anajiandaa kwenda kuaga mwili wa Marehemu George Tyson. Alianguka na kushindwa kuhudhuria.
Kwa sasa hali yake inaendelea vizuri.
Tuliishi maisha ya shida sana kisa uchawi wa jirani!
Kwa hakika uchawi na mambo ya kishirikina huwa yamesimika mizizi katika sehemu nyingi za Afrika, jina langu ni Julius, nilililewa...
Read more