
Mshambuliaji wa Nigeria Peter Odemwingie (kushoto) akifunga bao lake, huku kipa Asmir Begovic akiwa hana la kufanya.
BAO pekee la mshambuliaji wa Stoke City, Peter Odemwingie katika mchezo wa kombe la dunia limeipa ushindi muhimu timu ya taifa ya Nigeria dhidi ya Bosnia.
Kwa matokeo hayo, Bosnia wameshaaga mashindano yao ya mara ya kwanza ya kombe la dunia
Bosnia walipoteza mechi ya ufunguzi kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Argentina

Kitu kambani: Odemwingie akiwa ametumbukiza mpira nyavuni.

Odemwingie (kushoto) akishangilia bao lake baada ya kupokea pasi kutoka kwa Emmanuel Emenike (kulia).

Odemwingie akipongezwa na wachezaji wenzake.
Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama zilizotolewa ni chini ya 10.