Kwa wale waumini wa karaoke basi Kendrick Lamar ni muumini mwenzenu. Kendrick rapa mkali katika gemu ya Hip Hop Duniani amedhihirisha kupenda karaoke baada ya hivi karibuni kuhudhuria katika kituo cha radio cha XXL huko USA. Baada ya kufika kituoni hapo, Kendrick Lamar alifungiwa kwenye chumba maalumu ambacho kina mashine ya karaoke, bila kujivunga Kendrick aliseti mitambo na kuanza kuflow track mbalimbali ikiwemo Candy Shop ya mkongwe 50 Cent.
Ikodolee video ya hilo tukio hapa;
Baada ya kufukuzwa kazi mume naye kanikimbia ila….!
Tuliishi pamoja na mume wangu Kibet katika kaunti ya Lamu ambapo nilifanya kazi ya udaktari katika hospitali moja ya kibinafsi...
Read more