Baada ya kushuhudia wadogo zake, Peter na Paul (P- Square) wakifunga pingu za maisha, Jude Okoye ambaye amekuwa muongoza video (director) na meneja wa mapacha hao naye ameamua kuachana na usela.
Okoye ameoana na Ifeoma Umeokeke, ambaye alikuwa miss utalii wa Nigeria mwaka 2012.
Harusi ya kijadi imefanyika Alhamisi, 17 2014 na kuhudhuriwa na watu wengi maarufu kutoka katika tasnia ya muziki nchini humo.
Tayari Ifeoma ana ujauzito wa Okoye na hii imefanya harusi ya kisasa ya wawili hao kusubiri mpaka mwakani ambapo, Ifeome atakuwa ameshajifungua.
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kidijitali wa Benki ya NBC, Ulrik Tobias akishuhudia mteja Dosian Augustine akifanya muamala katika...
Read more