Mwanadada Jordin Sparks na mkali wa Wiggle, Jason Derulo ni wapenzi ambao kwa kiasi fulani wamedumu katika mahusiano yao. Hivi karibuni Jordin Sparks amekuwa akipost picha katika mitandao ya kijamii akiwa na mpenzi wake Jason Derulo. Leo amepost instagram na facebook, unataka kujua alichokiandika? soma mwenyewe hapa:
Happy Anniversary, @jasonderulo!! Time is flying! It feels like yesterday I was at your rehearsal & something just ‘clicked.’ Best decision I’ve ever made was to spend time with you that day, 3 years ago. I love you > yesterday. #102isthenumberthatcomestomyhead 💕💑✨Following