Mdau wangu kama ulihadithiwa kuhusiana na mapokezi ya Diamond Platnumz kutoka Marekani alikotwaa tunzo ya mwanamuziki bora wa Afrika Mashariki, hii ndo time ya kushuhudia nini kilitokea.
Diamond Platnumz alipata mapokezi ya kishujaa alipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere(NIA). Ikodolee video hapa na ikibidi idownload ufanye kama unashea na washkaji:
Tigo na Xiaomi wazindua Redmi Note 11 katika maonesho ya SabaSaba
Meneja wa mauzo wa vifaa vya intaneti wa Tigo Edwin Mgoa akiongea na waandishi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa...
Read more