Katika peruziperuzi zangu si nikakutana na hii video clip ambayo gwiji wa Hip Hop Tanzania, Fareed Kubanda a.k.a Fid Q alikuwa akijaribu kubana pua.
Mimi ilinijeruhi mbavu kiukweli na nikaona ni uchoyo kutokushare na mdau wangu:
NMB yaahidi kuendeleza kunufaisha sekta ya kilimo nchini
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biasharawa NMB- Bw. Filbert Mponzi(katikati) akizungumza kwenye maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika jijini Mbeya....
Read more