ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, August 18, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wakurugenzi wa Halotel Kumpongeza IGP Camilius Wambura Nafasi yake mpya

    Wakurugenzi wa Halotel Kumpongeza IGP Camilius Wambura Nafasi yake mpya

    Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

    Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

    Bi. Brenda Msangi  aeleza juu ya Programu ya CCBRT ya “Mabinti Center” kwa Dkt. Bärbel Kofle pamoja na washirika

    Bi. Brenda Msangi aeleza juu ya Programu ya CCBRT ya “Mabinti Center” kwa Dkt. Bärbel Kofle pamoja na washirika

    Rais Samia aridhia Agosti 23 kuwa siku ya mapumziko

    Rais Samia aridhia Agosti 23 kuwa siku ya mapumziko

    HABARI ZA HIVI PUNDE: RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

    HABARI ZA HIVI PUNDE: RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

    BASHUNGWA”TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA”

    BASHUNGWA”TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Hizi hapa album 10 bora za muziki 2014

admin by admin
December 9, 2014
in Babyface, Beyonce, Chris Brown, Girl, Iggy Azalea, In the Lonely Hour, L.A Reid, Mali music, Michael Jackson, Pharrell Williums, Sam Smith, Stronger, T.I, Tank, Timberland, Toni Braxton, TREY SONGZ, Trigga, U.S.A, X
Reading Time: 4 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Usihadithiwe mdau wangu, wamo wakongwe kama Pharrell Williums, Beyonce, Trey Songz, Chris Brown na chipukizi kama Sam Smith. Zicheki album ambazo zimewaweka mjini kwa U.S.A na dunia nzima.

beyonce_ig

Dada lao, Bey alifanya vizuri kwenye soko kutokana na mafanikio aliyoyapata kupitia album aliyoiita jina lake, wenyewe wanaiita ‘self titled album‘, ikiwa na nyimbo kali kama ‘Drunk in Love’ aliyofanya na mumewe, Jay Z.
Chris_Brown_X

Ukiachilia mbali zile noma za kukaa jela, kuzinguana na mpenzi wake Karrueche, Mahudhurio ya Mahakamani na zile adhabu za Huduma za Kijamii ambavyo vimemuweka busy mwaka mzima, ‘X’ album ya Chris Brown iliyobebwa na ‘Loyal’ na ‘Fine China’. Mauzo yake wiki ya kwanza ilikuwa copy 146,000 huku kukiwa na fununu kwamba staa R. Kelly ni kama aliweka nguvu hivi kuproduce nyimbo kadhaa kwenye albam hii.
iggyazalea_fb

Sidhani kama lebo ya Rapa T.I, Hustle Gang wanajutia nguvu waliyoiweka kumsimamisha Iggy kutokana na mafanikio ambayo kayaonyesha mpaka sasa, tukianza na ule ushahidi wa Tuzo aliyoipata ya Favorite Rap/Hip Hop Album katika Tuzo za American Music Awards 2014.
Mali Music

Mafanikio sio mauzo pekee ya Album ama shows, kwa msanii Mali Music kuchaguliwa kushiriki tuzo kubwa kama Grammy kwenye Category ya Best Urban Contemporary Album ni mafanikio makubwa ambayo yataingia kwenye historia ya muziki wake ambao una ladha ya pekee, mchanganyiko wa Gospel, Soul na Hip Hop.
michael-jackson

Msaada wa wakali kama producer Timberland na L.A Reid wakaweza kuzirudia baadhi ya nyimbo za Hayati MJ alizorekodi kuanzia mwaka 1983 mpaka 2001 kumefanya Dunia ipokee vizuri album yake ambayo imefanya mauzo ya copy zaidi ya mil.1 duniani kote mpaka sasa.
Pharrell_Williams_–_Girl_(album_cover)

‘Because I’m Happy’ hakuna ambaye hakufurahishwa na kazi hii nzuri ya Pharrell kutoka kwenye albam yake ya GIRL, ameshakusanya tuzo nyingi lakini moja kati ya kubwa ni ile ya kupata kutambulika kuwa ‘Hollywood Walk of Fame’ na bado anawania tuzo nyingine 6 kwenye Tuzo za Grammy.
Sam Smith

Mbali ya ugeni wake kwenye masikio na macho ya watu, haikuwa rahisi kupenya na kukubalika lakini tayari kapita na moja ya mafanikio ambayo yanazungumziwa ni yale ya Sam Smith kutajwa kuwania tuzo nyingine sita pia za Grammy, pamoja na wakongwe kama Pharrell na Beyonce.
tank_fb

‘Stronger’ ya Tank imeonyesha ile nguvu ambayo anayo baada ya kutoonekana kwenye climax ya muziki kwa kipindi kirefu akijihusisha na masuala mengine ikiwemo kucheza movie, album hii imetajwa kushika nafasi ya 13 kati ya album 200 bora za Billboard.
Toni Braxton

Muunganiko wa  Toni Braxton na Babyface umepezalisha nyimbo 11 kwenye album ya ‘Love, Marriage & Divorce’ haikuwaweka pabaya, album hii imekaa namba 4 kwenye Billboard top 200, huku mauzo yake yakiwa ni copy laki 4 mpaka sasa ndani ya Marekani pekee.

Trey_songz_trigga
 ‘Trigga‘ ya Trey Songz ipo pia kwenye ile chache kali, imekaa namba moja kati ya 200 kwenye chati ya Billboard ikisaidiwa na ‘Na Na’ huku mauzo yakiwa na copy 260,000 mpaka sasa.

Mimi tayari nimezisikiliza karibu album zote hapo na wewe mdau wangu sikiliza halafu uniambie ni ipi wewe unahisi ni best kwako.

ADVERTISEMENT
Previous Post

Idris wins Big Brother Africa 2014

Next Post

Picha: Diamond Platinumz aanika jumla ya tuzo zake katika picha moja

admin

admin

RelatedPosts

Beyonce

Beyonce shares sweet photos with Blue Ivy in matching outfits

by iamkrantz
November 17, 2015
0

Beyonce wore matching white outfits with her daughter as they attended a wedding on Sunday...

Read more

New Audio: Chris Brown kashirikiswa na Rita Ora.

August 6, 2015

WIZKID APANGA KUFANYA KOLABO NA CHRIS BROWN,BOW WOW, NA JERMAINE DUPRI

May 16, 2015

MAYWEATHER AFANYA BALAA KWENYE ‘BETHDEI’ YA CHRIS BROWN

May 11, 2015

Chris Brown amkumbuka Karueche

May 7, 2015

CHRIS BROWN AJIVUNIA MTOTO WAKE

April 17, 2015
Load More
Next Post

Picha: Diamond Platinumz aanika jumla ya tuzo zake katika picha moja

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

August 10, 2022
AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI  TAMASHA LA AZAMKA 2022

AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI TAMASHA LA AZAMKA 2022

August 16, 2022
Pesapal yapewa Leseni na Benki Kuu ya Tanzania kwa Utoaji Huduma Kwa Mfumo wa Kidigitali Zaidi

Pesapal yapewa Leseni na Benki Kuu ya Tanzania kwa Utoaji Huduma Kwa Mfumo wa Kidigitali Zaidi

August 17, 2022
TANESCO YAAHIRISHA MATENGENEZO YA KINGA KWENYE KANZI DATA YA MFUMO WA LUKU

TANESCO YAAHIRISHA MATENGENEZO YA KINGA KWENYE KANZI DATA YA MFUMO WA LUKU

August 17, 2022
Wakurugenzi wa Halotel Kumpongeza IGP Camilius Wambura Nafasi yake mpya

Wakurugenzi wa Halotel Kumpongeza IGP Camilius Wambura Nafasi yake mpya

August 18, 2022
Vodacom Tanzania yawajengea uwezo wa Tehama Wanafunzi wa kike jijini Dodoma

Vodacom Tanzania yawajengea uwezo wa Tehama Wanafunzi wa kike jijini Dodoma

August 18, 2022
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022

August 18, 2022
Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

August 18, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In