Baada ya mtanzania Diamond Platinumz kukomba tuzo tatu za Channel O siku za karibuni, headlines nyingi zilipamba vyombo vya habari kuwa kundi la muziki la nchini Nigeria liliomba kufanya naye kolabo.
.
Wakali hao wa Nana wameachia kazi hiyo inayokwenda kwa jina la Alive wakiwa pia wamemshirikisha mwimbaji bora wa kike wa Afrika mwanadada Tiwa Savage,
Hujachelewa mdau wangu nimeitupia hapa audio, uisikilize halafu uteme dukuduku lako.
Diamond na Davido wazidi kuchuana tuzo za kimataifa
Mtanzania Diamond Platinumz ameendelea kuchanja mbuga kunako anga ya muziki wa kimataifa baada ya kuweza kuchaguliwa kuwania tuzo za MTVEMA...
Read more