Rapper Fabolous na mpenzi wake wa muda mrefu ‘Emily B’ wanategemea kupata mtoto wao
wa pili.
wa pili.
Emily ambaye aliwahi kuhusika na kipindi cha Love & Hip Hop New York amethibitisha kuwa anaujauzito baada ya kutuonyesha picha hii akiwa na tumbo la ujauzito.

Emily ameandika “Looking forward to the New Year…. And my new blessing. [Akaweka ishara ya mtoto mchanga] Happy New Year!!…”
Emily na Fabolous tayari wanamtoto wa miaka 6 ‘Johan’ na mwingine wa miaka 16 ‘Taina’ aliyempata kwenye mahusiano ya awali.