Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Victoria Kimani amekwea pipa hadi nchini Nigeria na kula upepo wa bahari na mkali Davido katika beach moja huko jijini Lagos.
Davido ambaye alionekana kuongozana na jopo zima la HKN Gang wakiwemo JoshBeatz, Sina Rambo, B_Red, Danagog, Shizzi walionekana wakifurahia maisha kwa kubarizi beach huku mwimbaji wa Protoko akijumuika nao.
Picha zaidi nimezimimina hapa uweze kuburudisha macho yako mdau wangu wa ukweli:
RAYVANNY AHISI KUHESHIMISHWA KUTUMBUIZA MKUTANO MKUU WA CAF
Masanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rayvanny (Raymond Mwakyusa) aliyekuwa chini ya lebo ya muziki WCB Wasafi, ambaye...
Read more