ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Thursday, August 18, 2022
  • Login
BONGOSWAGGZ
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Wakurugenzi wa Halotel Wampongeza IGP Camilius Wambura Kuhudumu katika Nafasi yake mpya

    Wakurugenzi wa Halotel Wampongeza IGP Camilius Wambura Kuhudumu katika Nafasi yake mpya

    Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

    Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

    Bi. Brenda Msangi  aeleza juu ya Programu ya CCBRT ya “Mabinti Center” kwa Dkt. Bärbel Kofle pamoja na washirika

    Bi. Brenda Msangi aeleza juu ya Programu ya CCBRT ya “Mabinti Center” kwa Dkt. Bärbel Kofle pamoja na washirika

    Rais Samia aridhia Agosti 23 kuwa siku ya mapumziko

    Rais Samia aridhia Agosti 23 kuwa siku ya mapumziko

    HABARI ZA HIVI PUNDE: RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

    HABARI ZA HIVI PUNDE: RAILA ODINGA APINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU

    BASHUNGWA”TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA”

    BASHUNGWA”TAMISEMI NI MDAU MKUBWA WA TAKWIMU ZA SENSA”

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

SHOW YA TIGO KIBOKO YAO YAACHA HISTORIA LEADERS

admin by admin
January 26, 2015
in ALIKIBA, Diamond Platinumz, MASTAA MUZIKI, MUSIC, TIGO KIBOKO YAO, TIGO MUSIC
Reading Time: 10 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

SHAA kwenye jukwaa full kusugua gaga

wakurugenzi wa Tigo waki badilishana mawili matatu ndani ya chumba cha VIP

Mkurungezi mpya wa Tigo akiwa na prof jay

Ben Paul alikuepo kumtafuta Sofia ……

Best hip hop Dj Mavuvu

 Professor Jay  akishusha   ngoma baada ya ngoma  juu ya jukwaa la tamsha la kistoroa lililo tufungulia mlango wa burudani mwaka huu 2015 liliofanyika tarehe 24/1/2015 katika viwanja vya leaders Jijini Dar es saalam.

Mwana F A akipongezana na Professor Jay ndani ya chumba  V I P 

Salama Jabir ndani

Alikiba ndani

Diamond ndani

                                                     Ay na mwana Fa walifanya yao juu ya jukwahili huku wakiweka historia ya kufikisha miaka kuminatano ya wawili hao kufanya show ya pamoja.

IMG_3024
Msanii JUX akitoa burudani kwenye tamasha kubwa la kihistoria la Tigo Music Kiboko yao lililofanyika viwanja vya leaders jana.
IMG_2986
IMG_2935
Vanessa Mdee akitoa burudani kwenye tamasha kubwa la kihistoria la Tigo Music Kiboko yao lililofanyika viwanja vya leaders 
IMG_2939
Tigo Tanzania leo imetangaza rasmi uzinduzi wa Muziki wa Tigo ujulikanao kama “Tigo Music” kwa kushirikiana na Deezer, ambayo ni huduma ya kimataifa inayorusha muziki  itakayowapa Watanzania muziki usiokuwa na kikomo.
Hafla ya uzinduzi kwa ajili ya Tigo Music imefanyika katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam Tarehe 24 Januari ambapo wananchi wametumbuizwa na nyimbo tofauti tofauti kutoka kwa wasaniii 18 wa hapa nchini kama Diamond Platinum, Ali Kiba, Professor J, Weusi, Msondo, Ben Paul, Shillole Linah, Christian Bella, AY hao ni kati ya 18.
Kuanzia Januari 24, wateja wa Tigo wenye vifurushi vya malipo ya kabla ya intaneti wana uwezo wa kupata nyimbo milioni 36 za wasanii wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla katika simu zao za mkononi za smartphone. Vilevile, Tigo itatafuta miziki mipya ya kusisimua ya wasanii wa ndani kupitia ushirikiano mpya na kampuni ya Africa Music Rights, ambayo inawezesha, kutafuta na kusimamia haki za muziki katika bara la Afrika,
Meneja Mkuu wa Tigo Bi, Cecile Tiano alisema, ‘Tuna furaha kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano Tanzania kuwapa wateja wetu muziki usiokuwa na kikomo”. Muziki unajukumu kubwa katika Tanzania yetu tajiri na tamaduni tofauti kama starehe katika matukio ya kijamii na hata wakati binafsi. Haya ni mafanikio makubwa kwetu tukitarajia watu zaidi na zaidi kutumia smartphones katika sehemu hii ya dunia’.
“Kama bidhaa yenye maisha ya kidijitali, lengo letu ni kuiwezesha tasnia ya muziki kwa kujenga jukwaa ambalo si tu linaruhusu kupata nyimbo za wasanii wa ndani kwa urahisi, lakini pia linawapa mafunzo wanamuziki wetu kwenye masuala muhimu kama vile haki miliki na masoko. Hii ni njia yetu ya kusaidia vipaji vya wasanii na kukuza tasnia ya muziki wa ndani, “aliongeza.
Kuanzishwa kwa Muziki wa Tigo (Tigo Music) nchini Tanzania kumetokana na mafanikio ya uzinduzi nchini Amerika ya Kusini mwaka 2012 pamoja na Ghana mwaka 2014, na. Tangu kuanzishwa kwake imekuwa ni sehemu muhimu kwa maisha ya kidijitali ya watu ya kila siku na hii inaendana na matukio ya muziki wa ana kwa ana yaliyowahi kufanywa na wanamuziki mashuhuri duniani, pamoja na yale yaliyorekodiwa ndani ya studio.
Kama bidhaa, Tigo music imeongezeka kwa kiasi kikubwa huko Colombia kama nchi inayoongoza  kwa huduma  ya urushwaji wa muziki, wakiwa na watumiaji 600,000 wakisikiliza kwa wastani nyimbo zaidi ya  400 na masaa 40 ya muziki kila mwezi.
Urushwaji wa muziki ni eneo linalokua kwa haraka sana katika tasnia ya muziki kimataifa, na bidhaa ya muziki tayari imekuwa ya pili kimaarufu kwenye vipengele vya simu za mkononi katika Afrika.

ADVERTISEMENT
Previous Post

Victoria Kimani amfuata Davido Nigeria

Next Post

Gazeti la Mtazania: Kumradhi Wema Sepetu

admin

admin

RelatedPosts

Barnaba Kutoa Asilimia 18% ya Mauzo ya Album yake Kusaidi Watoto Njiti

Barnaba Kutoa Asilimia 18% ya Mauzo ya Album yake Kusaidi Watoto Njiti

by ALFRED MTEWELE
August 17, 2022
0

 Msanii Barnaba classic  kwenye Uzinduzi wa Album ya Muziki wake inayoitwa "LOVE SOUNDS DIFFERENT"   amepongezwa na Waziri wa Afya Mhe....

Read more
AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI  TAMASHA LA AZAMKA 2022

AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI TAMASHA LA AZAMKA 2022

August 16, 2022
KUNDI LA P-SQURE LAREJEA TENA KWA NAMNA YA KIPEKEE

KUNDI LA P-SQURE LAREJEA TENA KWA NAMNA YA KIPEKEE

August 15, 2022
RAYVANNY AHISI KUHESHIMISHWA KUTUMBUIZA MKUTANO MKUU WA CAF

RAYVANNY AHISI KUHESHIMISHWA KUTUMBUIZA MKUTANO MKUU WA CAF

August 11, 2022
Harmonize “Yeye Ananijua Zaidi Ya Yeyote Yule, Hata Mama Yangu Kwa Umri Wa Sasa”  “

Harmonize “Yeye Ananijua Zaidi Ya Yeyote Yule, Hata Mama Yangu Kwa Umri Wa Sasa” “

July 11, 2022
Video ya Buga kufikisha Views M.11 Ndani ya Wiki Moja

Video ya Buga kufikisha Views M.11 Ndani ya Wiki Moja

June 30, 2022
Load More
Next Post

Gazeti la Mtazania: Kumradhi Wema Sepetu

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

Yanga SC Yaweka Rekodi Mpya ya Mapato Kupitia Tamasha Lao 2022

August 10, 2022
AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI  TAMASHA LA AZAMKA 2022

AZAM FC YAWASHUKURU WASANII WALIOTOA BURUDANI KALI TAMASHA LA AZAMKA 2022

August 16, 2022
Pesapal yapewa Leseni na Benki Kuu ya Tanzania kwa Utoaji Huduma Kwa Mfumo wa Kidigitali Zaidi

Pesapal yapewa Leseni na Benki Kuu ya Tanzania kwa Utoaji Huduma Kwa Mfumo wa Kidigitali Zaidi

August 17, 2022
Hii ndio dawa ya wezi wa magari 

Hii ndio dawa ya wezi wa magari 

August 14, 2022
Wakurugenzi wa Halotel Wampongeza IGP Camilius Wambura Kuhudumu katika Nafasi yake mpya

Wakurugenzi wa Halotel Wampongeza IGP Camilius Wambura Kuhudumu katika Nafasi yake mpya

August 18, 2022
Vodacom Tanzania yawajengea uwezo wa Tehama Wanafunzi wa kike jijini Dodoma

Vodacom Tanzania yawajengea uwezo wa Tehama Wanafunzi wa kike jijini Dodoma

August 18, 2022
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 18.08.2022

August 18, 2022
Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

Japan yawataka Vijana wake kunywa Pombe zaidi ili kukuza Uchumi

August 18, 2022
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2022 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In