Mwanamuziki wa miondoko ya R&B nchini Tanzania Steve R&B ameibuka na hit mpya kali kwa mwaka huu wa 2015. Hit hiyo inakwenda kwa jina la Pole Pole na video imejaa mandhari ya beach na ni nzuri kama ilivyo wimbo wenyewe.
Nimeiweka hapa kwa ajili ya wewe mdau wangu na nakusihi utumie dakika zako tatu tuu na kisha utoe maoni yako.
YAMMI AFIKISHA VIEWS MIL.2 NDANI YA SIKU MBILI
Msanii YAMMI @yammitz kutoka Label ya #TheAfricanPrincess yake NANDY @officialnandy baada ya Video ya wimbo wake #Namchukia kutoka na Kufukisha...
Read more