Imeripotiwa kuwa mmoja wa wapenzi wa msanii maarufu kutoka Nigeria Davido ni mjamzito.
Mwanamke huyo ambaye ametambulika kwa jina la Sophie Momodu amethibitisha kuwa na mimba ya msanii huyo.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na mwandishi mmoja inasemekana wawili hawa walikutana mwezi wa saba mwaka 2014 usiku jijini Abuja baada ya Davido kumaliza kupiga show yake kwenye chuo kikuu cha jijini hapo
Uhusiano wa Davido na mrembo huyo ulikuwa maarufu mwanzoni wa mwezi wa tisa mwaka jana ingawa kikundi cha msanii huyo akikuunga mkono uhusiano huo kutokana na Sophie kutokuwa maarufu.
WANANCHI WATAKIWA KUFIKA BANDA LA AKIBA COMMERCIAL BANK KATIKA MAONESHO YA SABASABA KUPATA HUDUMA
Benki ya Akiba imetoa wito kwa wananchi kutembelea banda lao katika maonesho ya 46 ya kimataifa ya biashara maarufu kama...
Read more