Rihanna alipotea kunako gemu ya muziki kwa mwaka 2014 na kuwatia hofu mashabiki wake. Lakini kupotea kwa mkali huyo wa Pop kulikua na sababu za kibiashara.
Mwaka huu Rihanna amerejesha furaha ya mashabiki wake baada ya kuachia “FourFive Seconds” na zaidi ameachia kitu kingine kinaitwa “American Oxygen”.
Nimetupia hapa kibao hicho kwa ajili ya wewe:
SAUTI SOL YATANGAZA KUVUNJA KUNDI
Kundi la Sauti Sol kutokea nchini Kenya limetangaza kuwa litasitisha kufanya kazi pamoja kama kundi kwa muda usiojulikana baada ya...
Read more