Baada ya kusumbua vilivyo kwa kibao chao “Sura Yako” kundi la vijana wanne wa Kenya “Sauti Sol”wametoa tena kazi nyingine kali wakishirikiana na wasanii Josh na Amos inayokwenda kwa jina la NEREA.
Kazi iko hapa unaweza kuitazama muda wowote:
SAUTI SOL YATANGAZA KUVUNJA KUNDI
Kundi la Sauti Sol kutokea nchini Kenya limetangaza kuwa litasitisha kufanya kazi pamoja kama kundi kwa muda usiojulikana baada ya...
Read more