Muongozaji maarufu wa video Africa God Father anampango wa kufanya ziara Africa Mashariki. Kwamujibu wa post yake ziara hii itakuwa ya siku saba tu.
God Father amesha fanya video za wasanii kama Ay, Diamond, Linnah, Shetta, Ali Kiba na Ommy Dimpoz.
God Father anakuja na watu wake wa kazi na atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa huku kama wata taka.
Video ya Buga kufikisha Views M.11 Ndani ya Wiki Moja
Msanii wa nchini Nigeria Kizz Daniel aweka rekodi nzuri kupitia video ya wimbo wake wa BUGA aliomshirikisha msainii kutoka hapohapo...
Read more