Mshindi wa tuzo ya mwanamuziki bora nchini Nigeria Davido hivi karibuni aliwashangaza mashabiki wake baada ya kuweka picha kwenye mtandao wake wa Instagram ikiwa na maneno haya “Mama Davido Restaurant and Bar.”Hata hivyo msanii huyo amedai kuwa picha hiyo hakuiweka yeye bali kuna chombo kimoja cha habari kiliweka picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Dully Sykes: Nataka kuoa mwanamke ambaye ni golikipa, sitaki kuoa anayefanya kazi
Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @princedullysykes usiku wa jana kwenye tukio la @officialshetta alipata wasaa wa kuongea na wana...
Read more