Mwanadada anayeipeperusha vyema bendera ya muziki wa kiafrika kutoka Nigeria, Yemi Alade ameachia video ya wimbo wake mpya unaofahamika kama “Pose”.
Mkali huyo wa Jonii ambaye ndiye mwanamuziki pekee wa kike kutoka Africa aliye katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za BET 2015 kama msanii bora wa Africa ameshirikiana na R2Bees katika wimbo huo. mandhari ya kinigeria pamoja na ghana yameiteka video hiyo.
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kidijitali wa Benki ya NBC, Ulrik Tobias akishuhudia mteja Dosian Augustine akifanya muamala katika...
Read more