Staa wa filamu nchini Nigeria, Ini Edo.
Lagos, Nigeria
STAA wa filamu nchini Nigeria, Ini Edo, majuzi alijikuta mashabiki wake wakimtoa makosa kutokana na alivyokuwa amejiremba.

Jana wakati wa uzinduzi wa filamu za kituo cha televisheni cha MNET jijini Lagos, alionekana katika hali ya “kutisha” kutokana na rangi za macho alizokuwa amezipaka na watu kumshauri atafute mtaalam mwingine wa kumremba.