Kim Kardashian, 34, aweka wazi kuwa ni mjamzito wa miezi mitano ikiwa ni mimba yake ya pili na ameongezeka kilo 9. Alitweet ‘Kisirisiri nilikua napenda uvumi kwamba nilikua najifanya mjamzito kwasababu nilikua mwembamba sana! LOL Sasa hiv siwezi tena kuficha! Akatania na kusema,’miezi mitano (wiki 20) na zaidi ya kilo 9’. (20lbs ni sawa na kilo 9 na kidogo)
CRDB, USAID Na DFC Kutoa Shilingi Bilioni 100 Kwenye Sekta Ya Elimu, Afya, Biashara Ndogo Na Kati Pamoja Na Sekta Zisizo Rasmi Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) kwa pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dkt. Donald Wright...
Read more