TUKUTANE OCTOBA, NIUZIE SELA KWA NGUVU YA HOJA. NI BAADHI YA KAULI SAHILI KUTOKA KATIKA WIMBO UNAONUIA KUHAMASISHA AMANI KATIKA UCHAGUZI MKUU KWA MWAKA 2015, OCTOBER 25.
KIONGOZI WA TAIFA LA TANZANIA KWA KURA ZA WATANZANIA KWA TAIFA ZIMA NA KIZAZI KIJACHO.
MAAMUZI KWA AMANI PASIPO VURUGU WALA UWEPO WA MITUTU IWE KAULI MBIU KWA KILA MMOJA WETU KWA MAENDELEO YA SIASA NA UCHUMI ENDELEVU NA MASLAHI TIMILIFU YA WANANCHI WOTE.