Tetesi kuwa Beyonce na Jay Z huenda wakawa katika hatua ya mwisho kuachana, hazioneshi kuwa na maana yoyote baada ya kuona picha hizi.

Ni wazi kuwa Bey na Jay bado wanapenda na sana.
Mastaa hao wanaonekana kuwa bado wapo kwenye mapenzi tele katika picha zinazowaonesha wakitupiana mabusu tele kwenye mapumziko na familia. Mtoto wa Blue Ivy na rafiki yake Bey, Kelly Rowland naye alijumuika nao.
Picha zinaongea zenyewe.












