Kama wewe ni mfuatiliaji wa Ellen Show, jana tumeitazama Show hiyo kwa mara ya 2000 tangu ianze kurushwa hewani.
Ellen alimaliza show hiyo kwa furaha baada ya kupata wageni wa kushtukiza akiwemo mwimbaji na mwigizaji nyota wa Marekani Justin Timberlake na mwigizaji Jennifer Aniston.
Nimetupia video hapa uone uhondo ulivyokuwa:
Tuzo za Awali za TMA Zilikufa Kwasababu Yangu Adai Diamond Platnumz
Kutoka London,Uingereza mwanamuziki @diamondplatnumz akifanya mahojiano na kituo cha habari cha BBC Swahili amefunguka kuhusu msimamo wake wa kukataa...
Read more