Rnb staa Chris Brown anasema mtoto wake Royalty ndio amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye album yake mpya ya Royalty.
Kwenye interview aliyofanyiwa hivi karibuni Chris Brown anasema mtoto wake amembadilisha sana na sasa anampango wa kuacha kabisa kuvuta sigara.
Chris anasema “kuacha sigara ndio kitu hakwanaza nafanya mwaka 2016 iliniweze kumlea mwanangu vizuri ”
Fahamu kila kopi ya album ya Royalty itakayouzwa dola moja itatolewa kwa mfuko wa kusaidia watoto wa Children’s Miracle Network Hospital and Best Buddies.