Rais wa Marekani, Barack Obama ni miongoni mwa watu wanao pendwa, huu ni uthibitisho ambao wengi wanaweza kukubaliana nao. Katika mafanikio yake katika siasa na ukaribu na watu umemfanya watu wengi wawe wanampenda lakini kupitia picha hizi akiwa na watoto zimegusa hisia zaidi.
Obama hajawahi kuwa mtu wa kuzuia hisia zake, Kama akifikwa na machozi basi hata mbele za watu hutokwa na machozi, Picha hizi zilizo wekwa mandaoni zikiwa na hashtag #ObamaAndKids zimeonyesha hisia zake kwa watoto.
|