ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO
Friday, January 27, 2023
  • Login
BONGOSWAGGZ
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
    • All
    • Business
    • Politics
    • Science
    • World
    Rais Samia Asisitiza Uwezeshwaji wa Vijana katika Umiliki wa Ardhi

    Rais Samia Asisitiza Uwezeshwaji wa Vijana katika Umiliki wa Ardhi

    Mwili wa Nemes, Aliyekufa Vitani Ukraine Wawasili Tanzania

    Mwili wa Nemes, Aliyekufa Vitani Ukraine Wawasili Tanzania

    Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

    Yaliojili kwenye kurasa za Magazeti ya leo Ijumaa January 27,2023

    DC HALIMA: WAZAZI CHANGIENI CHAKULA MASHULENI

    DC HALIMA: WAZAZI CHANGIENI CHAKULA MASHULENI

    SERIKALI YAJA  NA MBINU MBADALA  KUPAMBANA NA UKATILI

    SERIKALI YAJA NA MBINU MBADALA KUPAMBANA NA UKATILI

    NGOs ZAKUMBUSHWA KUFUATA MISINGI YA KATIBA, SHERIA NA KANUNI

    SERIKALI YAFUTA MASHIRIKA 4898 YASIYO YA KISERIKALI

    Trending Tags

    • Trump Inauguration
    • United Stated
    • White House
    • Market Stories
    • Election Results
  • BIASHARA

    The Legend of Zelda: Breath of the Wild gameplay on the Nintendo Switch

    Shadow Tactics: Blades of the Shogun Review

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    The Last Guardian Playstation 4 Game review

    Intel Core i7-7700K ‘Kaby Lake’ review

  • Lifestyle
    • All
    • Food
    • Health
    • Travel

    Shooting More than 40 Years of New York’s Halloween Parade

    Why Millennials Need to Save Twice as Much as Boomers Did

    Doctors take inspiration from online dating to build organ transplant AI

    How couples can solve lighting disagreements for good

    Ducati launch: Lorenzo and Dovizioso’s Desmosedici

    23 Celebrity Tweets You Missed From The Golden Globes

    Trending Tags

    • Golden Globes
    • Game of Thrones
    • MotoGP 2017
    • eSports
    • Fashion Week
  • BURUDANI
    • All
    • Apps
    • Gadget
    • Mobile
    • Startup

    These Are the 5 Big Tech Stories to Watch in 2017

    Trending Tags

    • Nintendo Switch
    • CES 2017
    • Playstation 4 Pro
    • Mark Zuckerberg
  • MICHEZO
    • All
    • Gaming
    • Movie

    macOS Sierra review: Mac users get a modest update this year

    Hands on: Samsung Galaxy A5 2017 review

    Heroes of the Storm Global Championship 2017 starts tomorrow, here’s what you need to know

    Harnessing the power of VR with Power Rangers and Snapdragon 835

    Dota 2 and CS:GO top Steam’s 2016 list for most played games

    President Obama Holds his Final Press Conference

No Result
View All Result

Bongoswaggz
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Tigo yatoa udhamin wa milioni 11 kampeni ya ‘KUTOA AHADI YA UWIANO WA KIJINSIA”

iamkrantz by iamkrantz
March 4, 2016
in Uncategorized
Reading Time: 7 mins read
A A
0
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
 Meneja Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha (Kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya udhamini wa Tigo wa kiasi cha Shilingi Milioni 11 katika kampeni ya  ‘KUTOA AHADI YA UWIANO WA KIJINSIA  ambayo inatarajiwa kuanza na matembezi ya kilomita 6 ambayo yataanzia kwenye  “Uwanja wa Mbio za Mbuzi”, Masaki, Dar es Salaam Jumamosi Machi 5 saa 12 asubuhi, katikati Mwenyekiti wa Taasisi ya TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT (TWA), Sadaka Gandi na kushoto  ni Rais wa  (TWA,) Irene Kiwia   ambao ndio waandaaji wa matembezi hayo, kwenye mkutano uliofanyika mapema leo  jijini Dar es salaam.

Rais wa Taasisi ya TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT (TWA) Irene Kiwia  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kuhusu udhamini wa Tigo katika  kampeni ya kampeni ya  ‘KUTOA AHADI YA UWIANO WA KIJINSIA ni kauli mbiu kuelekea kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, inatarajiwa kuanza na matembezi ya kilomita 6 ambayo yataanzia kwenye  “Uwanja wa Farasi ”, Masaki, Dar es Salaam Jumamosi Machi 5 kwenye mkutano uliofanyika mapema leo  jijini Dar es salaam. 

Mwenyekiti wa Taasisi ya TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT (TWA),) Sadaka Gandi (katikati)  akifafanua jambo kuhusu  uzinduzi wa kampeni ya kampeni ya  ‘KUTOA AHADI YA UWIANO WA KIJINSIA  kushoto kwake ni  Meneja Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha na kushoto kwake Rais wa Taasisi ya TANZANIA WOMEN OF ACHIEVEMENT (TWA) Irene Kiwia kwenye mkutano na waaandishi wa habari uliofanyika mapema leo jijini Dar es salaam.

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Rais wa  TWA Irene Kiwia kuhusu udhamini wa Tigo katika  kampeni yakampeni ya  ‘KUTOA AHADI YA UWIANO WA KIJINSIA  ambayo ni kauli mbiu kuelekea kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika mkutano uliofanyika mapema leo Jijini Dar es salaam .

Dar es Salaam, Machi 03, 2016 – Kampuni  ya Tigo Tanzania  imedhamini kampeni ya Kutaka Uwiano ambayo inatarajiwa  kuanza  na matembezi ya kilomita sita ambayo yataanzia kwenye “Uwanja wa Mbio za Mbuzi”, Masaki, Dar es Salaam Jumamosi Machi  5, 2016.
Kampeni hiyo imeandaliwa na Taasisi ya Wanawake wenye Mafanikio (TWA) ambayo ni asasi isiyo ya kiserikali ambayo lengo lake kuu ni kuimarisha ushiriki, na majukumu yawanawake na uwezo wao katika jamii ya Tanzania kwenye mambo ya kijamii, kisiasa na kiutamaduni.
Kutoa    Ahadi ya Uwiano wa kijinsia ni kauli mbiu ya mwaka huu katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake. Ambayo kilele chake kitakuwa Machi 8, 2016.Kampeni ya Kutoa Ahadi ya Uwiano wa jinsia inatoa wito kwa kila mtu kuchukua hatua za dhati kusaidia upatikanaji wa uwiano wa kijinsia kwa kasi zaidi ilikuwa saidia wanawake na wasichana kufikia  matamanio yao.
Matembezi hayo ya tafuatiwa na Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Wanawake litakaofanyika kwenye Hoteli ya Regency Kilimanjaro, Jumapili, Machi 6.
Akizungumza  kwenye mkutano  wa waandishi  wa habari leo jijini Dar es salaam, Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha alisema kwamba kama kampuni ya maisha ya kidijitali Tigo inatambua mchango mkubwa unaotolewa na wanawake ndani ya jamii na ndio maana  kampuni hiyo inaungana na watu wenye mapenzi mema kuunga mkono kampeni  ya TWA.
 “Tigo inajivunia kuunga mkono TWA kwenye kampeni hii ambayo ambayo inatafuta kuwawezesha wanawake kuingia kwenyeustawi wa wasaidie wengine kustawi kwa ajili ya manufaa ya jamii. Ikiwa ni kampuni inayoendeshwa kwa ubunifu, Tigo iko tayari kufanya kazi na watu wengine ambao ni  wabunifu, jamii, asasi zisizo za serikali, serikali, sekta binafsi na za umma kwa ajili ya manufaa ya jamii yote,” alisema Wanyancha.
Akitoa shukrani zake kutokana na kuungwa mkono huko,Rais wa  TWA, Irene Kiwia aliishukuru Tigo kutokana na kujikita kwake kusaidia mikakati mbalimbali ambayo imejielekeza katika kuisaidia  jamii.
Kiwiaalisema, “Wakati tunakaribia kuanza Kampeni ya Kutoa Ahadi ya Uwiano wa kijinsia,tunapenda kuishukuru Tigo kwa ukarimu wake wa kutuunga mkono.
Bila uungwaji mkono wa kampuni hii pamoja na huduma zake kubwa hatungeweza kufikia malengo yetu mengi katikakupanga na kuandaa kampeni hii. Uungwaji mkono wa Tigo utakuwa na matokeo ya muda mrefu yatakayowanufaisha wanawake kufuatia mafanikio ya kampeni hii.”
Hali kadhalika Kiwia alitoa wito kwa watu kushiriki kwenye Matembezi ya Kutoa Ahadi ya Uwiano wa kjiinsia akisema, “Tunatoa wito kwa watu binafsi, asasi zisizo za serikali, vyombo vya  habari, maofisa wa sekta  za umma na binafsi na wadau wengine kuja kwa wingi na kuungana na sikushiriki kwenye matembezi na waalikwa kushiriki kwenye Mkutano wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake.
NaibuWaziriWaAfya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Hamisi Kigwangala, atakuwa mgeni rasmi katika matembezi   hayo.
Licha ya kutoa suluhisho la kiteknolojia kidijitali la kisasa hapa nchini, Tigo kwa miaka mingi imekuwa ikisaidia mikakati  ya kijamii ambayo yanaleta manufaa makubwa kwa  jamii.
MWISHO

ADVERTISEMENT
Previous Post

Serikali Yalitaka Gazeti la DIRA Limuombe Radhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue

Next Post

Tigo yatoa udhamin wa milioni 11 kampeni ya ‘KUTOA AHADI YA UWIANO WA KIJINSIA”

iamkrantz

iamkrantz

RelatedPosts

Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta
Uncategorized

Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

by iamkrantz
January 25, 2023
0

Mfanyakazi was Lake oil akimgudumia mteja.kampuni ya Pesapal imezindua suluhisho inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia...

Read more
Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

Waziri Dkt. Gwajima katika ofisi zao za Makao Makuu jijini Dar es Salaam.

January 25, 2023
MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

MSHINDI WA NMB MASTABATA KOTEKOTE AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI MKOANI TABORA

January 23, 2023
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

NMB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA VITUO VYA AFYA MKONOO, LEVOLOSI MKOANI ARUSHA

January 23, 2023
Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

Benki ya NMB yaingia makubaliano na Serikali ya Zanzibar uhifadhi bustani ya Forodhani

January 23, 2023
NMB YAZIDI KUMWAGA  ZAWADI ZA #MASTABATA

NMB YAZIDI KUMWAGA ZAWADI ZA #MASTABATA

January 6, 2023
Load More
Next Post

Tigo yatoa udhamin wa milioni 11 kampeni ya ‘KUTOA AHADI YA UWIANO WA KIJINSIA"

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

Stay Connected test

ADVERTISEMENT
  • Trending
  • Comments
  • Latest
Pikipiki 916 kugawiwa kwa Watendaji wa Kata

Pikipiki 916 kugawiwa kwa Watendaji wa Kata

January 24, 2023
Ahmed Ally “Tulishtuka Kuona Kocha Robertinho Anamtoa Chama!”

Ahmed Ally “Tulishtuka Kuona Kocha Robertinho Anamtoa Chama!”

January 20, 2023
CHUKUA HII: TEUZI KABAMBE YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 2023

CHUKUA HII: TEUZI KABAMBE YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 2023

January 25, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti leo Ijumaa 25.11.2022

Yaliojili kwenye kurasa za Magazeti ya leo Jumatano January 25,2023

January 25, 2023
Rais Samia Asisitiza Uwezeshwaji wa Vijana katika Umiliki wa Ardhi

Rais Samia Asisitiza Uwezeshwaji wa Vijana katika Umiliki wa Ardhi

January 27, 2023
MAN ‘U’ YAWANIA SAINI YA VICTOR OSIMHEN

MAN ‘U’ YAWANIA SAINI YA VICTOR OSIMHEN

January 27, 2023
Mwili wa Nemes, Aliyekufa Vitani Ukraine Wawasili Tanzania

Mwili wa Nemes, Aliyekufa Vitani Ukraine Wawasili Tanzania

January 27, 2023
Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’

Benki ya NBC Yahitimisha Kampeni ya ‘Vuna Zaidi na NBC Shambani’

January 27, 2023
ADVERTISEMENT
Facebook Twitter Google+ Youtube RSS

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

No Result
View All Result
  • Home
  • HABARI
  • BIASHARA
  • Lifestyle
  • BURUDANI
  • MICHEZO

© 2023 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In